OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
- Thread starter
- #21
Hii namba haipo mkuu ..unakosa kuwa makiniYapo ya kutosha, mpigie namba 0652791797
Hii namba haipo mkuu ..unakosa kuwa makiniYapo ya kutosha, mpigie namba 0652791797
Hayo maarage yanaiva yenyewe bila kupikwa? Kuna 180,000 kwa gunia ..nataka gunia 80Tajiri wa maharage ya njano kutoka arusha,kama ni soya gunia nakupa kwa 400k fika likamba.
Kuna mtu anazo gunia 60 za mahindi ya njano. Ila kwa hiyo bei sina uhakika kama mtakubaliana.Wakuu bado sjapata mahindi yale na mwisho wa mwezi huu yanatakiwa..nataka gunia 100 za mahindi na 80 za maharage ya njano ..
Conditions.:
Utaleta nilipo kwa gharama zako.
Gunia la mahindi mwisho tsh 60k na maharage isivuke tsh 180k
Mahindi au maharage yakiwa na hitilafu hulipwi.
Utalipwa baada ya mimi kufikisha mzigo unapostahili, nikipewa changu ndo nitatoa nikupe.
Mkataba upo.
Kama una gunia 100+ za uhakika za mahindi ya njano na maharage 80+ ya njano piga hii namba tufanye biashara.
0768246184.
Yeye anauza bei gani kwa gunia..?Kuna mtu anazo gunia 60 za mahindi ya njano. Ila kwa hiyo bei sina uhakika kama mtakubaliana.
Ungefanya 70k kwa gunia. Ungechukua mzigo chapu.Yeye anauza bei gani kwa gunia..?
Hayo hayo mkuu bado nahitaji sanaMahindi ya njano yale ya kutengeneza bisbisi au popcon, na kwa kilo unanunua bei gani? Na maharage njano ndefu au njano fupi nayo unanunua bei gani kwa kilo moja,
Nilipiga hupatikani mkuu.Yapo ya kutosha, mpigie namba 0652791797
Hapana mkuu nataka uhakika zaidi.Tajiri ana uswahili mwingi
Nataka gunia kumi ila chukua 180k mkuuTajiri wa maharage ya njano kutoka arusha,kama ni soya gunia nakupa kwa 400k fika likamba.
Kwa mahind nachkua 58k kwa gunia, maharage 180k mkuuKwaio unataka bei aseme nan wkt we ndio mwenye uhitaji!?
Mzigo ukifika pesa yako unapata boss.Kwa hiyo wewe ni mtu wa kati,uletewe mzigo,upeleke kwa mnunuzi,ulipwe kisha uje umlipe mwenye mzigo,kazi kwelikweli
Huwa nachukua kwa 58k kwa gunia ..maana gharama za usafiri ni zangu ..nafata mzigo mwenyewe.Ungefanya 70k kwa gunia. Ungechukua mzigo chapu.
Mi pia nipo moshi ninanunu au natafuta anayeuza maharage ya njano kwa gunia la kilo 100 bei yake iwe Tsh. 230,000 isizidi hapo, nitafuata mzigo shambani.