Nahitaji mafunzo ya kung fu, karate, judo

Umeelezea vizuri sana mkuu upo wapi wewe?
 
Goju ryu, Kombat karate, na judo kombat, my favourite martial arts styles.
 
mnapatikana wapi ili tuje tujifue??
 
Mkuu umeni-inspire sana lazima nijiunge
 
wakuu kwa mbeya wapi naweza pata mafunzo rasmi ya vtu kma hvyo happo juu
mbeya walikua wachuna ngozi kwa sasa wameacha nanashinda kanisani kumwomba mungu hayo ma-karate hawana mda nayo.. ukizingua unapigwa shaba...
 
mbeya walikua wachuna ngozi kwa sasa wameacha nanashinda kanisani kumwomba mungu hayo ma-karate hawana mda nayo.. ukizingua unapigwa shaba...
Ngozi walikuwa wanaziuza wapi mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…