Nahitaji list ya Movie za Magenious

He Is Him

JF-Expert Member
May 19, 2020
238
353
JMT

Wakuu nimetokea kuzipenda movie za magenious( i mean sterling ndo genious mwenyewe.) ni nzuri saana
Baadhi ya movie/series nilizoziangalia ni
1.SCORPION
2. YOUNG SHIELDON

nimetokea kuzikubali hizi movie
Sasa naombeni mnipe list ya movie za maGENIOUS kama hizo.
Nawasilisha
 
Hii movie nilicheka saana

A beautiful Mind

Sherlock Holmes

Social Network (Story ya Mark wa Facebook ni nzuri ila binafsi simkubali actor wa ile movie yule jamaa simuelewagi anaboa)

Gifted
hii kali Kale katoto plus kuna Octavia spencer nampenda yule Mama nlisoma kitabu chake Ninja Detective nlivyokua shule she’s great
 
Interstellar
The Martian
Inception
Endgame (time travel)
3 Idiots
The Man from U.N.C.L.E
Predestination
Looper n.k
 
Ni vyema ukatupatia kwanza tafsiri ya neno "magenious" ama "genious" ndipo tuelekee katika list.
Genious ni mtu mwenye IQ kubwa kuliko normal IQ ya binadamu

IQ normal nahisi ni 160s ila Genious anaweza akafika mpaka 200

Mfano wa magenious ni Isaac newton
albert heinsten
leonardo davinci
na MIMI HAPA(DENIS)
 
JMT

Wakuu nimetokea kuzipenda movie za magenious( i mean sterling ndo genious mwenyewe.) ni nzuri saana
Baadhi ya movie/series nilizoziangalia ni
1.SCORPION
2. YOUNG SHIELDON

nimetokea kuzikubali hizi movie
Sasa naombeni mnipe list ya movie za maGENIOUS kama hizo.
Nawasilisha
Ipo inaitwa Genious ya kihindi.
Jamaa alikuw chuo ni mtaalam sana wa mambo ya IT, alikuw anapenda kwnda chuo na kibaiskel chake achana na wale watoto wa kishua na ndinga zao. Siku moja jamaa wakat anarud hom alikuw na kamtambo kake flani sasa akaamua tu kuzichezea traffic lights, gafla akaruhusu taa nyekundu wakat ilikuw inawaka ya bluu. Baada ya mda jamaa akaanza kutafutwa na mapolisi kwa udi na uvumba maana hawakujua nani kafanya hivyo, alitafutwa sana na wapelezi mpaka wakampata . Kumbe ile siku alipobadili traffic lights kuna jambaz lilikuw linakimbizwa na polis sasa jamaa kufanya vile akasaidia yale majambaz kukamatwa sa walitaka wampe pongez, ila mwsho wa siku aliajiliwa serikalini kama mpelelz. Ni nzur mno
 
Back
Top Bottom