Nahitaji Line Ya Safaricom kwa ajili ya kutumia Paypal

Habari zenu wanajamvi.! Nipo Dar nahitaji line ya Safaricom ili niweze kufungua account paypal nipokee malipo mtandaoni.

Kuna ambaye anauza hapa dar au wakala au namna yoyote ambayo mtu anafahamu anielekeze niweze kupata.

Natanguliza Shukrani zangu. 🙏
TCRA, BOT na viongozi wa serikalini watakuambia mitandaoni kuna fursa nyingi sana na unaweza kutengeneza hela
Ukija kwenye uhalisia utajua kuwa Tanzania ni nchi ambayo ni ngumu sana kuishi
 
Habari zenu wanajamvi.! Nipo Dar nahitaji line ya Safaricom ili niweze kufungua account paypal nipokee malipo mtandaoni.

Kuna ambaye anauza hapa dar au wakala au namna yoyote ambayo mtu anafahamu anielekeze niweze kupata.

Natanguliza Shukrani zangu. 🙏
Nipigie 0743070834
 
Kama it's possible kupokea hayo malipo kwa njia tofauti na PayPal. I would recommend uangalie alternative kama Payoneer au Grey.

I've personally used Payoneer and pesa inafika mpaka kwenye account ya local bank. For Grey, I know people wanaopokea malipo nayo.

Kama ni lazima iwe PayPal. Basi ngoja wanaoitumia watakuja kupa ushauri.
 
Fungua PayPal na connect na Xoom haiitaji laini ya Safaricom.. hii unapokea na kutoa hadi kwenye Mobile Money kama M-Pesa, tiGO Pesa, na Airtel Money
 
Back
Top Bottom