Nahitaji line ya M-Pesa ili nitumie fursa hii

Torino Fc

Member
Dec 22, 2015
64
34
Habari waungwana! Npo mkoani Lindi nmetembea nikagunduwa kuna baadhi ya maeneo hayana huduma za mpesa watu wanazifuata mbali,naomba muongozo nawezaje kuipata line ya mpesa na inanihitaji kuwa na Tsh na mambo gani.Natanguliza shukrani za dhati kwenu
 
Back
Top Bottom