Bianconeri
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 113
- 77
Wakuu ningependa mnidmfahamishe ninunue laptop ambayo matumizi yake yatakuwa ni kudownload na kuangalia movies nyimbo pamoja na kucheza games
Je niangalie specs gani na gharama zake ni kiasi gani mpya ama mtumba
aina ya laptop ni HP
Je niangalie specs gani na gharama zake ni kiasi gani mpya ama mtumba
aina ya laptop ni HP