Nahitaji Laptop ya Mdogo wangu wa Chuo

Nahitaji Laptop ya Mdogo wangu wa Chuo

Nunua MacBook tu.hiyo atakaa nayo hadi basi. 950,000/= unapata core i5 used nzuri tu huko town..Ma hp, lenovo, accer 2 years na rabsha za masomo zinakufa
 
Mbona unacheka mkuu, laptop ya mwanaume ni tofauti na ya mwanamke
Hahaha,aisee umenipa kali mkuu
Ila logic inaingia akili kweli,naona kuna kitu kweli.Maana ni sawa na gari kuna gari ni bora zaidi kwa mwanamke na nyingine kwa dem,ila zote ni gari
Watakuelewa ukiwapa ufafanuzi wa laptop za kike na za Kiume ili jinsi zijitambue hapa,ila jiandae na matusi
 
Mimi ninayo
1 terabytes,
RAM 8
HP medium.. Coi7
Nina mwaka nayo lakini
Haina tatizo
Mengine PM
400,000 bila punguzo.nipo unguja, kama dar bila usumbufu nitakuwa huko 30th November for 3 days
Laptop yko ya aina gn io?
 
Nina mdogo wangu wa chuo anahitaji laptop budget yangu ni 600,000/- nimchukulie ipi ambayo itakuwa ngumu na imeji balance kote kote?
Kiswahili kigumu..hicho kichwa cha uzi wako mhhh
 
Nakushauri uende kwenye maduka ya pcs au laptop..utafafanuliwa kila kitu na utapata kitu brand new..600,000/ kwa laptop utapata mpya na ni nzuri sana..mark my words.
 
Mimi ninayo
1 terabytes,
RAM 8
HP medium.. Coi7
Nina mwaka nayo lakini
Haina tatizo
Mengine PM
400,000 bila punguzo.nipo unguja, kama dar bila usumbufu nitakuwa huko 30th November for 3 days
Kaka vp ushauzaiyo pc
 
i3 kaka, yoyote kuanzia 4th generation
-i3 6100u
-i3 50xxu
-i3 4xxxu
hio x inaweza kuwa namba yoyote.

ikiwa i5 au i7 ni bonus tu
Mkuu nimetafuta hizo laptops za 4th generation madukan hazipatikan,zipo za 2th generation tu mpaka nimechoka sasa
 
Mkuu nimetafuta hizo laptops za 4th generation madukan hazipatikan,zipo za 2th generation tu mpaka nimechoka sasa
za 2nd si used? unapata za 4th used na mpya nyingi tu kupatana

thinkpad | Kupatana

achana na wauzaji wasioandika majina ya laptop, thinkpad zote zinazoanziwa na 4 ni 4th gen mfano T440
 
Apa nasikia harufu ya mtu kupigwa...nakushaur tafta mtaalam wa laptop nenda nae kkoo...mpya core i hakuna za bei hyo lkn ata hzo utazopata ztamfaa sana mtu wa law...used usinunue kama sio fund utahangaika tu wala usinunue refurbished... Tuachie mafund...ukikosa kabsa jmos ijayo ntaenda kkoo nyambie nkupeleke maduka yeny uhakika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom