Nahitaji Laptop ya Mdogo wangu wa Chuo

Nahitaji Laptop ya Mdogo wangu wa Chuo

Elvicepride

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
243
Reaction score
65
Nina mdogo wangu wa chuo anahitaji laptop budget yangu ni 600,000/- nimchukulie ipi ambayo itakuwa ngumu na imeji balance kote kote?
 
Chukua yenye processor core i5, isipungue 2.4 GHz, ram iwe 2gb au zaidi, harddisk isishuke 350 gb
 
Mimi ninayo
1 terabytes,
RAM 8
HP medium.. Coi7
Nina mwaka nayo lakini
Haina tatizo
Mengine PM
400,000 bila punguzo.nipo unguja, kama dar bila usumbufu nitakuwa huko 30th November for 3 days
 
Nina mdogo wangu wa chuo anahitaji laptop budget yangu ni 600,000/- nimchukulie ipi ambayo itakuwa ngumu na imeji balance kote kote?
Amepangiwa masomo gani??? Engineering au sayansi au arts??? Pc ya mtu wa engineering ni tofauti ka na ya mtu wa arts
 
Clinical Medicine
tafuta tu i3 mpya mtaani itafaa, kwa hio laki 6 sidhani kama zinapatikana siku hizi andaa atleast laki 7. jiepushe na laptop za celeron na pentium utakazozikuta huko madukani.

ram na hdd sio tatizo vinaongezeka,
 
Ninayo HP Envy ya T1 na ni. Touch Nile m2/in mpyaaa No PM kama unataka
 
IMG-20160902-WA0004.jpg
IMG-20160906-WA0008.jpg
IMG-20160906-WA0009.jpg
IMG-20160906-WA0010.jpg
IMG-20160901-WA0006.jpg
IMG-20160902-WA0004.jpg
IMG-20160906-WA0008.jpg
IMG-20160906-WA0009.jpg
IMG-20160906-WA0010.jpg
IMG-20160901-WA0005.jpg

RAM 4
HDD 500
Process core i5 2.6GHZ
USED
price 500k/=
 
tafuta tu i3 mpya mtaani itafaa, kwa hio laki 6 sidhani kama zinapatikana siku hizi andaa atleast laki 7. jiepushe na laptop za celeron na pentium utakazozikuta huko madukani.

ram na hdd sio tatizo vinaongezeka,
Nichukue za processor ipi bruh?
 
Nipe laki 6 nikupe hp
Ram 4gb
Harddisk 1T
Corei3
Iko almost new
 
Nina mdogo wangu wa chuo anahitaji laptop budget yangu ni 600,000/- nimchukulie ipi ambayo itakuwa ngumu na imeji balance kote kote?
Npigie 0714013531bei hazifiki hata 500,000/=
 
Attachments

  • IMG_20161022_153021.jpg
    IMG_20161022_153021.jpg
    103.2 KB · Views: 38
  • IMG_20161022_153008.jpg
    IMG_20161022_153008.jpg
    111 KB · Views: 40
  • IMG_20161022_152917.jpg
    IMG_20161022_152917.jpg
    85.2 KB · Views: 39
Ongeza 50k nenda Kariakoo kapate HP pavillion dv6 4gb ram,500gb HDD mpya kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom