Nahitaji laptop ya kusomea na 'gaming'

Jiwe kuu001

Member
Dec 25, 2020
50
25
Wakubwa hongera kwa ujenzi wa Taifa,

Natafuta laptop kwaajili ya kusomea na Gaming Brand Hp, Dell au Lenovo.

Budget yangu ni lak3
 
Acha mzaha!Huwezi kupata gaming laptop kwa laki tatu hata kama ni used kwa sababu gaming laptops zinaanzia generation ya 8.
 
Icheki Google for details mkuu Ni i3, Dell Inspiron n4010
Sasa ulipomwambia jamaa aje pm kwako umuuzie laptop ya game umejuaje kuwa hiyo laptop yako ni laptop inayofaa kwa game? Unafahamu sifa za laptop inayofaa kwa game?
 
Sasa ulipomwambia jamaa aje pm kwako umuuzie laptop ya game umejuaje kuwa hiyo laptop yako ni laptop inayofaa kwa game?Unafahamu sifa za laptop inayofaa kwa game?
Nina cheza games nyingi mkuu
Call of duty. Kama nne
GTA V
GTA vice city
Brother s in arms
FIFA

Na nyingine kibao ila izi latest atacheza kwa low
 
Sasa ulipomwambia jamaa aje pm kwako umuuzie laptop ya game umejuaje kuwa hiyo laptop yako ni laptop inayofaa kwa game?Unafahamu sifa za laptop inayofaa kwa game?
Na iyo pC Ni kulingana na bajeti yake kuna tatzizo kwani mkuu?

Au alipo ongelea games we mawazo yako yalikupeleka wapi?
 
PC zenye sifa za kucheza game za maana ni kuanzia generation ya 8
Samahan mkuu mi ndiye mtumiaji wa hii PC na napo kuambia nacheza games nyingi nakua namaanisha

Nimeanza na samahan namalizia na sahamni KUNA KITU HAKIPO SAWA KWENYE KICHWA CHAKO CHA JUU LEO MKUU

Have a nice day
 
Na unapo ongelea generation ya pc kuna generation Tano tu 5. Iyo ya 6.7na 8 umezitolea wapi?
132954.jpg
 
Ki bongo bongo Gamin zote zinaanzaia i3 generation 4 maana Hatuchezi games Zenye Fps kama Minecraft au Game kama Fortinite Nani acheze game Online, sisi ni wa games kama Watchdogs, GTA, Fifa,pes, Cod ila kwa Budget ya mwamba ni ndogo inabidi apo aongezee kidogo pia aangalie Ecommerce kama Kariakoomall,Sokoni na Kadhalika, Pia huko zoom, Jiji na Kupatana anaweza Pata
 
Mkuu umeongea Ki utu uzima kabisa
 
Na unapo ongelea generation ya pc kuna generation Tano tu 5. Iyo ya 6.7na 8 umezitolea wapi?
Ndio elimu zetu za kibongo hizi.... Ukimezeshwa na mwalimu aliyemaliza chuo 2010 unakomalia na kuvimba... Technolojia inachenj kila siku.. jiongeza kusoma na kufanya utafiti... Tupo generation ya 11. Hata proces now ni 1.1. Na kuendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom