kabugira
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 1,186
- 650
- Thread starter
- #21
You have a point, nilikuwa sijafikiria hii hali!Naomba kujuzwa je aluminium windows ni nzuri kwa mikoa kama dar kutokana na hali yake ya hewa ua ni ushamba na ulimbukeni wa fasheni maana naishi kwenye nyumba ya madirisha ya aluminium lakini huwa natamani kuyangofoa na in fact kiyoyozi nacho kila wakati ni matatizo matupu labda wabuni madirisha ya aluminium yanayofunguka na siyo haya yanayofunguka kiduchu infact this is #shits ebu tusaidiane mawazo