Jamani mimi ni kijana wa Tanzania. Ni kibarua tu kwenye kiwanda fulani hapa jijini jijini Dar es salaam. Mateso, manyanyasa, kutothaminiwa na ubabe ndivyo vilivyonifanya nitamana kuwanong'oneza kitu viongozi fulani ambao ni Mheshimiwa Halima Mdee ( Maana kiwanda hiki kipo jimboni mwake ) lakini pia na waziri wa Kazi na ajira.
Hivyo ndugu zangu naomba mwenye namba za hawa viongozi anitumie PM.
Uwamuzi huu wa kutafuta namba za hawa viongozi tumeupata jana baada vibarua wote kukaa chini na kushauri juu tunavyonyanyaswa.
Hivyo ndugu zangu naomba mwenye namba za hawa viongozi anitumie PM.
Uwamuzi huu wa kutafuta namba za hawa viongozi tumeupata jana baada vibarua wote kukaa chini na kushauri juu tunavyonyanyaswa.