Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
Bajeti yako sh ngapi?Habari waungwana nina blog yangu katika platform ya blogger inahusiana na michezo nahitaji app blog yenyewe hii hapa www.binruwehy.blogspot.com dm iko wazi pia mtengenezaji wangu namuomba awe na demo japo moja tu ili niweze kujiridhisha
Hakunaga bei maalumBajeti yako sh ngapi?
Hakuna bei maalum kivipi? Nikikuambia utoe milioni 5 utatoa?Hakunaga bei maalum
https://www.appcreator24.com/ nenda uunde app bureeeHabari waungwana nina blog yangu katika platform ya blogger inahusiana na michezo nahitaji app blog yenyewe hii hapa www.binruwehy.blogspot.com dm iko wazi pia mtengenezaji wangu namuomba awe na demo japo moja tu ili niweze kujiridhisha
Mi sijapanga bajeti sababu nilijua dev ndio atanipa maelezo yalivyo ndio maana nikaweka na link ya blog pamoja na maelezo kiasi ili dev ajue ugumu wa kazi au wepesi ili ajue gharama itakayohitajikaHakuna bei maalum kivipi? Nikikuambia utoe milioni 5 utatoa?
Wewe bajeti ya hiyo kazi yako ina range kwenye shilingi ngapi?
Shukranhttps://appcreator24.com nenda uunde app bureee
Kama ukiona imegoma kufunguka nimeupdate linkShukran
https://www.appcreator24.com/ nenda uunde app bureee
Android app for your blog instead of people typing url of your blog in browser they will automatically be in your blog home page after opening the appInaeza kumuonganishia API ya blogger kwel? Na authentication kufanya kabisa?
acha kupoteza muda na huo uchafu,ni web wrapper hiyoShukran
ndio maana nimetafuta dev hizo makitu ni hovyo kiasi nilishawahi kujaribu appyet n.kacha kupoteza muda na huo uchafu,ni web wrapper hiyo
Dev wewe mboga kama mganga, bila domain huwezi au wenge devKaribu inboksi demo ya App nilizotengeneza ni "Udaku magazine" na "Carrymastory gossip"
Na kwanza blog yako ujanunua ata domain ya buku mbili utaweza garama za App we mzee