ErickjrJunior
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 328
- 78
Nisamehee Mikono Na Akil Kwa Kosa Lipi??sikukusoma vizuri ndugu now nimekupata isamehehe mikono na akili ndugu.
Nisamehee Mikono Na Akil Kwa Kosa Lipi??sikukusoma vizuri ndugu now nimekupata isamehehe mikono na akili ndugu.
Na wewe umo lakin hauvumi
Umesema Ipo Siku Nitatengua Kauli Yangu, Kauli Ipi??
Ngoja Ajibu...Na Nitapenda Ajibu.Hata nami nilitaka kuuliza swali hilo, sijui ndio upako umepitiliza!!
Ngoja Ajibu...Na Nitapenda Ajibu.
Jibuu????nimekuja tena ndo nilikuwa natoka viwanja vya semina ya mwakasege.
Mm kama una mahela nipo tayari....
mtumishi mungu akutangulie kutimiza adhma yako.
Aaaameeeeeen,!!