TOM KENYARES
Member
- Jun 3, 2020
- 19
- 8
Wanajamvi nawasalimu nyote, nimeshachukua fremu tayari katika eneo ambalo lipo mkoani Manyara, kiufupi,ni eneo ambalo lina watu wengi kiasi na biashara zilizopo katika eneo Hilo ni hizi zifuatazo:
1. Maduka ya jumla na rejareja
2. Wakala wa M-pesa n.k
3. Wauza mbogamboga
4. Seremala
5. Stationary zipo tatu
6. Fundi simu
7. Mgahawa
8. Wauza vioo
9. Hardware
...na mengineyo sasa nilichokuwa nataka ni idea nzuri zaidi nifungue biashara gani?
Mliopo katika miji mikubwa mnaweza kunipa idea zaidi, karibuni.