Nahitaji kupata majani ya mnanaa

unaitwaje kwa kizungu ?
 
Pole sanaaa kwa hapa dar huo mmea unapatikana k,KOO sokoni ukifika pale nje waone wale wauza mboga mboga waambie nataka nanaa utapatiwa kwa bei ya tshs Mia tano tu kw a fungu,kwa kuongezea nanaa nimmea unaotibu matatizo ya mkojo km unatatizo lolote kuhusu mkojo nunua nanaa chemsha kunywa maji YAKE utaona utofauti Na awali,inatibu u.t.i. Na kwa watoto ambao awapati mkojo inawafaa sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…