Siku hizi ukiritimba umepungua dada acha uoga. Ugumu ulikua zamani. Nenda zonal office za NHC. Au ofisi zao za mjini. Kama huzijui just google na utapata website yao na taarifa zaidi.Kama kichwa cha habari kisemavyo naomba mtu anayeweza nisaidia kupata nyumba ya kupanga ya nhc maeneo ya ilala,urafiki ,magomeni au hata shekilango ila sijui naanzia wapi.Japo nimesikia ni ngumu may be mtu aniuzie mkataba wake so kama yupo mtu atayeweza niuzia nitashukuru japo huo mkataba na usizidi laki tano.
Tema mate chini mkuu hizi nyumba ni balaa kuzipata. Nemehangaika sana ofisini kwako naambiwa zipo za kununua tu ila za kupanga zilishaisha.Siku hizi ukiritimba umepungua dada acha uoga. Ugumu ulikua zamani. Nenda zonal office za NHC. Au ofisi zao za mjini. Kama huzijui just google na utapata website yao na taarifa zaidi.
Mkuu basi tunatofautiana na kila mtu na zali lake sijui. Maana mimi tulipata bila tabu Magomeni, japo anakaa ndugu yangu.Tema mate chini mkuu hizi nyumba ni balaa kuzipata. Nemehangaika sana ofisini kwako naambiwa zipo za kununua tu ila za kupanga zilishaisha.
Mara ya mwisho nipo dodoma, nimenda pia kuulizie tena kupitia kwa jina la kiongozi ndo nikaambiwa nisubiri mtu anatoka baada ya mwezi nikakata tamaa kabisa.
kama kweli yupo willing kuzitafuta hizi nyumba kwa dar tafuta dalali mzoefu huwa wanajua watu wanahama ili akuunganishe naye, japo mara nyingi wengi wao huwa wanawapangisha watu wengine kwa kuwapiga cha juu.
ukienda ktk ofisi zao watakupa nyumba za kupanga za laki tatu tano... kwa mwezi...Siku hizi ukiritimba umepungua dada acha uoga. Ugumu ulikua zamani. Nenda zonal office za NHC. Au ofisi zao za mjini. Kama huzijui just google na utapata website yao na taarifa zaidi.
Solution..Siku hizi ukiritimba umepungua dada acha uoga. Ugumu ulikua zamani. Nenda zonal office za NHC. Au ofisi zao za mjini. Kama huzijui just google na utapata website yao na taarifa zaidi.
Nyingi zimeng'ang'aniwa na watu wenye uwezo, yaani wasiohitaji kupanga hizi nyumba, hili swala @NHC na LUKUVI lazima waliangalie vizuri, wewe angalia mijini kote, ni Wadosi na wenye uwezo tu, haiwezekani kwa kweli...Tema mate chini mkuu hizi nyumba ni balaa kuzipata. Nemehangaika sana ofisini kwako naambiwa zipo za kununua tu ila za kupanga zilishaisha.
Mara ya mwisho nipo dodoma, nimenda pia kuulizie tena kupitia kwa jina la kiongozi ndo nikaambiwa nisubiri mtu anatoka baada ya mwezi nikakata tamaa kabisa.
kama kweli yupo willing kuzitafuta hizi nyumba kwa dar tafuta dalali mzoefu huwa wanajua watu wanahama ili akuunganishe naye, japo mara nyingi wengi wao huwa wanawapangisha watu wengine kwa kuwapiga cha juu.
Hii ndiyo miradi yao mkubwa mjini yaani, kiujumla zimepangishwa mara mbili mbili.Nyingi zimeng'ang'aniwa na watu wenye uwezo, yaani wasiohitaji kupanga hizi nyumba, hili swala @NHC na LUKUVI lazima waliangalie vizuri, wewe angalia mijini kote, ni Wadosi na wenye uwezo tu, haiwezekani kwa kweli...
Kodi utakayolipa si afadhali ununue kabisa, ile kodi yako ya mwezi iwe rejesho la mkopo.Kama kichwa cha habari kisemavyo, naomba mtu anayeweza nisaidia kupata nyumba ya kupanga ya NHC maeneo ya Ilala, Urafiki, Magomeni au hata Shekilango/Ubungo ila sijui naanzia wapi.
Japo nimesikia ni ngumu may be mtu aniuzie mkataba wake so kama yupo mtu atayeweza niuzia nitashukuru japo huo mkataba na usizidi laki tano.
Si uwaone NHC mwenyewe,mkuu vipi?Kama kichwa cha habari kisemavyo, naomba mtu anayeweza nisaidia kupata nyumba ya kupanga ya NHC maeneo ya Ilala, Urafiki, Magomeni au hata Shekilango/Ubungo ila sijui naanzia wapi.
Japo nimesikia ni ngumu may be mtu aniuzie mkataba wake so kama yupo mtu atayeweza niuzia nitashukuru japo huo mkataba na usizidi laki tano.
yako iko wapi mkuuAina ya nyumba ninayoweza kukusaidia kuipata inategemea kama umeolewa au haujaolewa. Kama hujaolewa ninaweza kuku sublet nyumba yangu niliyopangishwa na NHC... Ina vyumba viwili, ninaweza kukupangisha kimoja, mimi nikabaki na kimoja. Tutakuwa tunashea sebule, jiko na kibaraza... Kama umeolewa nenda ukatafute shithole house za NHC huko uswahilini.
Prime locations! Mtaa unaitwa 'Central Business District'yako iko wapi mkuu