Rosalie_J
Member
- Jan 6, 2018
- 37
- 50
Kama kichwa cha habari kisemavyo, naomba mtu anayeweza nisaidia kupata nyumba ya kupanga ya NHC maeneo ya Ilala, Urafiki, Magomeni au hata Shekilango/Ubungo ila sijui naanzia wapi.
Japo nimesikia ni ngumu may be mtu aniuzie mkataba wake so kama yupo mtu atayeweza niuzia nitashukuru japo huo mkataba na usizidi laki tano.
Japo nimesikia ni ngumu may be mtu aniuzie mkataba wake so kama yupo mtu atayeweza niuzia nitashukuru japo huo mkataba na usizidi laki tano.