Nahitaji kupanga nyumba za NHC Dar, nianzie wapi?

Rosalie_J

Member
Jan 6, 2018
37
50
Kama kichwa cha habari kisemavyo, naomba mtu anayeweza nisaidia kupata nyumba ya kupanga ya NHC maeneo ya Ilala, Urafiki, Magomeni au hata Shekilango/Ubungo ila sijui naanzia wapi.

Japo nimesikia ni ngumu may be mtu aniuzie mkataba wake so kama yupo mtu atayeweza niuzia nitashukuru japo huo mkataba na usizidi laki tano.
 
Mwenyewe nazitamani sana hizi. tuwasubiri wadau wa tuhabarishe mida ya lunch time. si unajua hii mida ya kazi
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo naomba mtu anayeweza nisaidia kupata nyumba ya kupanga ya nhc maeneo ya ilala,urafiki ,magomeni au hata shekilango ila sijui naanzia wapi.Japo nimesikia ni ngumu may be mtu aniuzie mkataba wake so kama yupo mtu atayeweza niuzia nitashukuru japo huo mkataba na usizidi laki tano.
Siku hizi ukiritimba umepungua dada acha uoga. Ugumu ulikua zamani. Nenda zonal office za NHC. Au ofisi zao za mjini. Kama huzijui just google na utapata website yao na taarifa zaidi.
 
Tema mate chini mkuu hizi nyumba ni balaa kuzipata. Nemehangaika sana ofisini kwako naambiwa zipo za kununua tu ila za kupanga zilishaisha.

Mara ya mwisho nipo dodoma, nimenda pia kuulizie tena kupitia kwa jina la kiongozi ndo nikaambiwa nisubiri mtu anatoka baada ya mwezi nikakata tamaa kabisa.

kama kweli yupo willing kuzitafuta hizi nyumba kwa dar tafuta dalali mzoefu huwa wanajua watu wanahama ili akuunganishe naye, japo mara nyingi wengi wao huwa wanawapangisha watu wengine kwa kuwapiga cha juu.
 
Mkuu basi tunatofautiana na kila mtu na zali lake sijui. Maana mimi tulipata bila tabu Magomeni, japo anakaa ndugu yangu.
 
Siku hizi ukiritimba umepungua dada acha uoga. Ugumu ulikua zamani. Nenda zonal office za NHC. Au ofisi zao za mjini. Kama huzijui just google na utapata website yao na taarifa zaidi.
ukienda ktk ofisi zao watakupa nyumba za kupanga za laki tatu tano... kwa mwezi...
 
ukiuziwa mkataba shukuru... ila wana pangisha ili apate iyo zidi ya kila mwezi alafu anaipeleka NHC... siku ukija kuambiwa una daiwa kodi haujalipa uwezi shangaa kwa kuwa ulikuwa una mpa mtu wa kati wa magumashi na wewe hauna mkataba na NHC... hivyo una toka kirahisi tu na kudaiwa juu...
 
Siku hizi ukiritimba umepungua dada acha uoga. Ugumu ulikua zamani. Nenda zonal office za NHC. Au ofisi zao za mjini. Kama huzijui just google na utapata website yao na taarifa zaidi.
Solution..
 
Tema mate chini mkuu hizi nyumba ni balaa kuzipata. Nemehangaika sana ofisini kwako naambiwa zipo za kununua tu ila za kupanga zilishaisha.

Mara ya mwisho nipo dodoma, nimenda pia kuulizie tena kupitia kwa jina la kiongozi ndo nikaambiwa nisubiri mtu anatoka baada ya mwezi nikakata tamaa kabisa.

kama kweli yupo willing kuzitafuta hizi nyumba kwa dar tafuta dalali mzoefu huwa wanajua watu wanahama ili akuunganishe naye, japo mara nyingi wengi wao huwa wanawapangisha watu wengine kwa kuwapiga cha juu.
Nyingi zimeng'ang'aniwa na watu wenye uwezo, yaani wasiohitaji kupanga hizi nyumba, hili swala @NHC na LUKUVI lazima waliangalie vizuri, wewe angalia mijini kote, ni Wadosi na wenye uwezo tu, haiwezekani kwa kweli...
 
Hii ndiyo miradi yao mkubwa mjini yaani, kiujumla zimepangishwa mara mbili mbili.
 
Maisha ya kule ni ya uswahili sana mkuu, tafuta tu nyumba za kawaida. Otherwise chungua nyumba nzima
 
Kuna flat mpya hapo magomeni usalama laki sita kwa mwezi kama vp sema nikuunge na dalali...
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo, naomba mtu anayeweza nisaidia kupata nyumba ya kupanga ya NHC maeneo ya Ilala, Urafiki, Magomeni au hata Shekilango/Ubungo ila sijui naanzia wapi.

Japo nimesikia ni ngumu may be mtu aniuzie mkataba wake so kama yupo mtu atayeweza niuzia nitashukuru japo huo mkataba na usizidi laki tano.
Kodi utakayolipa si afadhali ununue kabisa, ile kodi yako ya mwezi iwe rejesho la mkopo.
 
Aina ya nyumba ninayoweza kukusaidia kuipata inategemea kama umeolewa au haujaolewa. Kama hujaolewa ninaweza kuku sublet nyumba yangu niliyopangishwa na NHC... Ina vyumba viwili, ninaweza kukupangisha kimoja, mimi nikabaki na kimoja. Tutakuwa tunashea sebule, jiko na kibaraza... Kama umeolewa nenda ukatafute shithole house za NHC huko uswahilini. :rolleyes:
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo, naomba mtu anayeweza nisaidia kupata nyumba ya kupanga ya NHC maeneo ya Ilala, Urafiki, Magomeni au hata Shekilango/Ubungo ila sijui naanzia wapi.

Japo nimesikia ni ngumu may be mtu aniuzie mkataba wake so kama yupo mtu atayeweza niuzia nitashukuru japo huo mkataba na usizidi laki tano.
Si uwaone NHC mwenyewe,mkuu vipi?
 
Aina ya nyumba ninayoweza kukusaidia kuipata inategemea kama umeolewa au haujaolewa. Kama hujaolewa ninaweza kuku sublet nyumba yangu niliyopangishwa na NHC... Ina vyumba viwili, ninaweza kukupangisha kimoja, mimi nikabaki na kimoja. Tutakuwa tunashea sebule, jiko na kibaraza... Kama umeolewa nenda ukatafute shithole house za NHC huko uswahilini. :rolleyes:
yako iko wapi mkuu
 
yako iko wapi mkuu
Prime locations! Mtaa unaitwa 'Central Business District' :D

beijingskyline_afpgetty.jpg
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom