Nahitaji kuosha picha

Nahitaji kuosha picha

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,484
Hello guys 👋👋

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji studio ambayo bado wanasafisha picha za negative/mkanda kama zamani. Muhimu sana jamani so kama kuna sehemu/mtu unaemfahamu hapa Dar naomba unisaidie LOCATION & NAMBA ya simu please.

Thanks in advance!!!
 
Hiyo teknolojia ya zamani imeshapitwa na wakati, nega zako peleka makumbusho ya taifa zikahifadhiwe kama teknolojia ya upigaji picha ya kizamani[emoji6]
 
Hapo kwenye junction inayoenda Kioto na Kumamoto kuna studio ya kutolea picha mkono wa kushoto
 
Sasa ndugu yangu unaomba uelekezwe studio ilipo ukiamini kwamba watu tunajua ulipo ? Ndio maana nikakuelekeza Japan kumbe utakuta upo zako Melbourne
😄😄😄😄😄 haya bana!!!
 
Back
Top Bottom