Nahitaji kununua vifaa vya stationery

Acha Dhambi

Senior Member
Oct 19, 2010
145
41
Nakusudia kufungua stationery huku kijijini kabla ya kununua vifaa naomba ushauri kwa ujuzi, mafundi wauzaji au yeyote.

Mashine ya copy nawaza IR inayo print scan na copy pande mbili kugeuza yenyewe print na vifaa vingine pia wauzaji wa rimu kwa jumla.

Tuwasiliane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom