Nahitaji kununua used Boxer or TVS

Amjadey

Member
Jun 29, 2011
83
31
Habari wakuu
Yeyote ambae anauza Pikipiki aina ya Boxer au TVS iliyotumika sio zaid ya mwaka mmoja. Engine CC150 itapendeza ikikosekanwa ata cc125.
Isiwe imewahi kufanyiwa matengenezo kwenye engine (engine haijaguswa)
Ninahitaji tafadhali DM. Nikutafute
Nipo DSM

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu bajeti yako ni kiasi gani?

Tvs 150 ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizo pikipiki sio kama unaipenda pesa yako tafuta pikipik nyingine UTANIKUMBUKA
 
Back
Top Bottom