Nahitaji Kununua Sungura

Nahitaji Kununua Sungura

Mzalendowetu

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
87
Reaction score
36
Nahitaji kununua Sungura. Kwa yeyote mwenye taarifa za upatikanaji wake kwa hapa Dar es Salaam, naomba anisaidie
 
Niliwah kuwaona maeneo ya Oilcom Mbezi beach near Kawe.Fika tangi bovu panda pikipiki za kwenda Kawe beach maeneo ya Rainbow,oposite na petrol station ya Oilcom kuna washkaji wanauza pamoja na Siri.
 
Niliwah kuwaona maeneo ya Oilcom Mbezi beach near Kawe.Fika tangi bovu panda pikipiki za kwenda Kawe beach maeneo ya Rainbow,oposite na petrol station ya Oilcom kuna washkaji wanauza pamoja na Siri.

Ahsante mkuu kwa maelekezo mazuri
 
Kama unajua jinsi ya kuwatega, karibu Kisarawe shambani wako wengi mno, sungura pori wa bure.
 
Nitafute kwa namba hii: 0718424824. Kwani unataka wangapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom