Elon SpaceX
Senior Member
- Jul 26, 2019
- 127
- 261
Ninahitaji Simu used aina ya huawei yenye fingerprint
ipost hapa au njoo inbox ukiwa na model, picha yake na bei
ipost hapa au njoo inbox ukiwa na model, picha yake na bei
Me nnayo imekufa camera, display imepasuka na charger system iliungua ila "finger print iko vizuri na ni Huawei." uko wapi nikuletee mkuu???Ninahitaji Simu aina ya huawei yenye fingerprint
ipost hapa au njoo inbox ukiwa na model, picha yake na bei
dahMe nnayo imekufa camera, display imepasuka na charger system iliungua ila "finger print iko vizuri na ni Huawei." uko wapi nikuletee mkuu???
Just tafuta mate 9,iko vizuri sanaNinahitaji Simu aina ya huawei yenye fingerprint
ipost hapa au njoo inbox ukiwa na model, picha yake na bei
Ninahitaji Simu aina ya huawei yenye fingerprint
ipost hapa au njoo inbox ukiwa na model, picha yake na bei
soma uzi mkuuHuawei P20 Pro, bei 980k.. Full boxed
Hiyo hapo Huawei P20 lite (64gb) bei yake 650,000.Ninahitaji Simu used aina ya huawei yenye fingerprint
ipost hapa au njoo inbox ukiwa na model, picha yake na bei