Nahitaji Kununua Mpunga

Nahitaji Kununua Mpunga

Kiagoh92

Senior Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
101
Reaction score
56
Wadau kwa anaye fahamu kwa kipindi hiki maeneo yanayouzwa mpunga Gunia kuanzia 30000/= hadi 40000/= Naomba taarifa nataka nichkue STOCK.
 
Sisi kwetu kipindi hiki gunia 1 @150000.

Wakati wa kuvuna gunia 1 la mpunga bei yake inaanzia 70000 au 80000.
 
Sisi kwetu kipindi hiki gunia 1 @150000.

Wakati wa kuvuna gunia 1 la mpunga bei yake inaanzia 70000 au 80000.
Huku kwetu gunia kwa sasa ni 55000/=
Hapo bado mvua haijatulia ikikata tuu neemal maula.
 
Tabora wajomba karibun bhana,,,,,,,,,kumbe huku tunakula maisha eeeeh
 
Back
Top Bottom