Ni kweli kama alivyosema
Zemanda maelezo yako hayajajitosheleza.
Anyway, umesema una access ya kufika kokote Tz! Basi tembelea maeneo yafuatayo kuku wanapatikana kwa urahisi sana (ila sijajua bei yake);
Moshi (v) vijiji vya Kata za Kahe, Kyomu, Chekereni mpaka Mwanga... Makambako; vijiji vya ubena, utengule na kule mlowa... Kondoa kata za Darabi, Masange, Mnenia, Chungai, Bambare... Pia Dodoma wilaya ya Mpwapwa, vijiji vingi kuku wa kienyeji wanapatikana kwa urahisi sana, Kila la kheri.