[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125]Mm ninae ila ni mbea wakupitiliza usiombe kuje wageni atahadithia had chupi uliovaa
Mkuu siku hizi umbali sio kikwazo cha biashara, Jiongeze ongea na mdau akuunganishe na wahusika, wao watafanya utaratibu wa ku deliver mzigoDaahh sipo DSM Kwa sasa mkuu
Nasikia kigoma wapoWakuu kwema nahitaji kasuku (
Parot ) wa kununua nipo Arusha au msaada wa wapi ntaweza pata kasuku mmoja.
-----update------
Wakuu bado sijampata huyu ndege nampenda na namuhitaji zaidi ya Sana nimeweke home
Ni pm .mwenye info kamili za WAP nampata hapa Arusha au moshi nitamfata popote alipo please!