Nahitaji kununua gari aina ya IST new Model 2007/2008

Nina 15 Millions za kitanzania ninahitaji hii gari kwani nimeambiwa kuwa ni economy na spea zake hupatikana kirahisi sana
Nisaidieni jamani wanajf nisije juta baade View attachment 471092
Nahitaji ushauri wako je hii gari ipoje? Kabla ya kuinunua. Niambie sifa zake
Kama utakuwa na nguvu Kidogo ya kuongeza hapo 3m nakushauri chukua Toyota Rush.iko juu tofauti na ist pia ina engine ndogo endapo suala liko kwenye matumizi ya Mafuta..engine yake ni 1490 cc.Ist kama unapita barabara za kizalendo mara kwa mara jiaandae kung'ata meno kila Mara ingawa kwa barabara ya lami bado ni gari ambayo utaifurahia ...jaribu kuangalia na Rush pia uone.
 
Ushauri mzuri ila Rush hapana nimetokea kutokaelewa
 
Mkuu ingia website ya Bforward utapata hio gari na kwa bei nzuri chini ya m15.pia utaipata yenye good condition
Ndio nashangaa watu wanaosema 15m ni ndogo cjui walifanyaga kautafiti kwanza?
Ila OK ndio mambo ya jamii na jukwaa lao
 
usipende kuwa wa mfano ....hzo generation ya pili sio nyingi sana better ukanunua 2007 kushuka chini ndo sijackia mtu akilalamikia.hzo gar
 
mkuu mimi naijuua hii gar maana miez miwili sasa, hizi zimegawanyika mara mbili kuna za cc 1790 na 1490. hizi gari ni kwaajili ya matmizi ya mjini tuu ndio maana zinaitwa town cruiser.

kama ukiitmia kwa hizi bara bara zetu wallahi unaiua, tofauti na nyingine hii bara barani inatulia saaana saana, ushauri mwingine nunua matair makubwa ili uinyanyue halafu bodi laake sio gm saana kama ist old model
 
Nininahitaji hii gari kwani nimeambiwa kuwa ni economy na spea zake hupatikana kirahisi sana, kwa kifupi management sio mbaya wanavyodai.
Nisaidieni jamani wanajf nisije juta baade View attachment 471092
Nahitaji ushauri wako je hii gari ipoje? Kabla ya kuinunua. Niambie sifa zake
1st zote new na old model zipo powa zinabana sana mafuta na spear zipo za kumwaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nininahitaji hii gari kwani nimeambiwa kuwa ni economy na spea zake hupatikana kirahisi sana, kwa kifupi management sio mbaya wanavyodai.
Nisaidieni jamani wanajf nisije juta baade View attachment 471092
Nahitaji ushauri wako je hii gari ipoje? Kabla ya kuinunua. Niambie sifa zake

Nunua mkuu ni gari nzuri sana.

Kwa huduma ya clearing and forwarding tunapatikana kwa anuani ifuatayo;

S.A LINK Traders Ltd
2nd Floor-Elite City building,(Opposite harbor view tower)
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Wasiliana nasi; email: salink801@gmail.com
Simu: +255718 866 651 (call or whatsaps)
Website: salink.co.tz
 
Hivi chief, kama gari inauzwa $1700 mpaka inafika mkononi kwangu itagharimu sh ngapi??
 
Back
Top Bottom