Nahitaji kununua gari aina ya IST new Model 2007/2008

kidambinya

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,176
1,721
Nininahitaji hii gari kwani nimeambiwa kuwa ni economy na spea zake hupatikana kirahisi sana, kwa kifupi management sio mbaya wanavyodai.
Nisaidieni jamani wanajf nisije juta baade
01w.jpg

Nahitaji ushauri wako je hii gari ipoje? Kabla ya kuinunua. Niambie sifa zake
 
Hela umesema unazo sasa tukusaidie nini?
High risk pays take it from me.
Msaada naohitaji ni kuwa hii gari inaweza kuwa na hizo sifa au ndio kusema nikiwa nayo nakuwa kama namiliki jini linalonyonya mafuta bila sababu yoyote?
Kama hauoni ushauri nini Ok
 
Sasa mkuu, hilo gari limeandikwa specifications zake, Unatakiwa uzisome tu utapata majibu yote ya utumiaji wa mafuta n.k.

Hapa unataka majibu makali yatakayokuponza hizo hela ukanunue bia ujipooze.
 
Duuuuh, kazi kweli kweli OK nimekuelewa
 
Nina 15 Millions za kitanzania ninahitaji hii gari kwani nimeambiwa kuwa ni economy na spea zake hupatikana kirahisi sana
Nisaidieni jamani wanajf nisije juta baade View attachment 471092
Nahitaji ushauri wako je hii gari ipoje? Kabla ya kuinunua. Niambie sifa zake
Unaishi wapi, unahitaji gari kwa matumizi yepi?

After all hiyo gari ni ghali sana haina tofauti IST toleo la nyuma yake.
 
Cjakuelewa mkuu maana ughali najua upo katika kulinunua ila mimi nataka kufahamu Management yake tu. Kuhusu kununua usiwaze
 
Sasa mkuu, hilo gari limeandikwa specifications zake, Unatakiwa uzisome tu utapata majibu yote ya utumiaji wa mafuta n.k.

Hapa unataka majibu makali yatakayokuponza hizo hela ukanunue bia ujipooze.
Mimi nilivyomuelewa anataka kupata uzoefu kwa mtu mwenye gari aina aina hiyo ili kabla hajanunua ajue A,B,C zake! kusoma specifications pekee hakutamsadia sana. mimi binafsi ninayo IST mwaka wa 4 sasa haijawahi kunisumbua kwa namna yoyote zaidi ya kufanya service za kawaida tu!
 
Kati ya wote wewe umenielewa kwa 100% Hope haukuwa kilaza class
Thanks The Greatest Thinker
 
Tatizo mleta mada uliweka budget yako kuwa ni 15m ndio maana wengi wakawa wanakushauri vile walivyokushauri.

Kukwambia huwezi pata kwa hiyo pesa yako ni ushauri pia kiongozi, maana wenyewe wanajua bei yake
 
Back
Top Bottom