Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,867
Habar wana jamvi, Nimefungua ki studio cha kurusha Movies, hivyo nilikua nahitaji kununua Desktop mpya ila sina uzoefu nazo
Nahitaji mwenye kufahamu anipe ABC zake yaani niangalie nini na nini, sihitaji Used nahitaji mpya kabisa Dukani
Nahitaji mwenye kufahamu anipe ABC zake yaani niangalie nini na nini, sihitaji Used nahitaji mpya kabisa Dukani