Nahitaji kununua Benz ML 350, msaada kwa anayelifahamu

Lusam

Senior Member
Joined
Apr 4, 2013
Posts
195
Reaction score
88
Wadau nimepata kamkopo (Salaried loan) naipenda sana Benz ML 350, nina 25M je naweza kuipata kwa pesa hii kwenye Yard za hapa Bongo?. Naomba kujuzwa kwa anefahamu strength na weakness ya hii gari na wapi naweza kuipata.
 
Mkuu hela yote ya mkopo unataka kuiwekeza kwenye mradi ambao hautakuzalishia chochote? Kwanini Benz ML, huna chaguo lingine ambalo unaweza kutumia nusu tuu ya hiyo pesa na ingine ukaitupa kwenye mradi ukuzalishie, pengine huenda ukakusaidia kufanya marejesho ya huo mkopo. Mkopo ni mtamu ukiupewa ila machungu yake ni pale utakapoanza kukutwa kuulipia. think out of the box bro. hata kama unakipato kikubwa usibweteke kwa hilo, mambo yanaweza kubadilika muda wowote na hiyo ML usipate hata hamu kufungua mlango na kuingia ndani. Ni wazo tuu mkuu jaribu kuiangalia shilingi upande wa pili.
 
Hakika una ushauri mzuri sana na unaelewa mzunguko wa pesa ulivyo na matumizi yake.Natamani ungepata nafasi uwafundishe wale wanaotumia v8 huku wanasema nchi maskini na wanaendelea kukopa!!nimeamini ukimpa mtoto hela mbele yake ataona pipi tu ndo za kununua
 
Umetoa ushauri wa Maana mkuu,unauza nyago then unakujakuumbuka.
Wekeza kwenye miradi,angalau ungesema ni pesa yako mwenyewe tungejua kwamba ume invest vya kutosha mpaka kuweza kumiliki gari hiyo.
lakini Mkopo kisa Luxury Car?bado mafuta hapo.
Unawza kukuta unaharibu kizazi chako kwa kutokuwa na mipango thabiti yamisha kwa kufuata ujana na mkumbo.
Unaweza kuona ushauri wa humu sio sahihi lakini ni for your future.
Utatanua na gari zuri,madem,washkaji kibao bila malengo.
Mwisho wa siku unakuwa kama katuni.
kumili gari kama hili angalua uwe na investments zenye thamani si chini ya kama milioni 500 hivi.
 
Mkuu hela yote ya mkopo unataka kuiwekeza kwenye mradi ambao hautakuzalishia chochote? Kwanini Benz ML, huna chaguo lingine ambalo unaweza kutumia nusu tuu ya hiyo pesa na ingine ukaitupa kwenye mradi ukuzalishie, pengine huenda ukakusaidia kufanya marejesho ya huo mkopo. Mkopo ni mtamu ukiupewa ila machungu yake ni pale utakapoanza kukutwa kuulipia. think out of the box bro. hata kama unakipato kikubwa usibweteke kwa hilo, mambo yanaweza kubadilika muda wowote na hiyo ML usipate hata hamu kufungua mlango na kuingia ndani. Ni wazo tuu mkuu jaribu kuiangalia shilingi upande wa pili.

We pekeka huko njaaa zako mwenzako kashapanga atembeleee ---- ten benz wwe na shida zako unaanza mambo ya mzunguko?biashara n tisk takin game n bora afanye kile moyo wake unapenda maish n ya kupita tuu haya ishi furahisha nafsi yako hujui kesho yako itakuwejr
 
Hakika una ushauri mzuri sana na unaelewa mzunguko wa pesa ulivyo na matumizi yake.Natamani ungepata nafasi uwafundishe wale wanaotumia v8 huku wanasema nchi maskini na wanaendelea kukopa!!nimeamini ukimpa mtoto hela mbele yake ataona pipi tu ndo za kununua

Hizo n ndoto na roho za fisi nyinyi nyote,kwan ukifanya biashara lazma upate faida?na wanaopata loss nao vip???
Je akipata loss na pesa ake hajaitumia alivopanga???? Kumbuken kasema n mkopo unaokatwa kwenye salary yake mwsho wa mwez dats meanz hata rate ake bnafs ipo juuu,peleken shamba mawazo yenu ya kimaskin nguchiro watu nyie
 
heshima ni kitu cha bure mkuu, mbona unatusi wenzio kuwa ni nguchiro kwa ushauri waliotoa? kama unaona ushauri au wazo lako au la mleta uzi ni sahihi si uchangie tu pasipo lugha za kashfa? au nawe ni mmoja wa waliokopa wakaenda kununua verosa au alteza?tafadhali heshimu mawazo ya wengine hata kama yanakukera vipi.
 
vuta benz mkuu ule vyuku na watoto wakaleeeee

Maisha yenyewe haya mafupi kujibana bana siyo inshu
 
dogo kubishana na mtu kama ni kupteza muda. mtoto wa mama kama wewe utayajulia wapi maisha.
We pekeka huko njaaa zako mwenzako kashapanga atembeleee ---- ten benz wwe na shida zako unaanza mambo ya mzunguko?biashara n tisk takin game n bora afanye kile moyo wake unapenda maish n ya kupita tuu haya ishi furahisha nafsi yako hujui kesho yako itakuwejr
 
Dah, Mkuu umevuta MKOPO halafu unataka kununua ML!!!..dah, hata kukushauri mkuu inakuwa ngumu, lakini Vinci kanena pale juu yanatosha! Hiyo 25M ungezungusha tu mkuu wakati huo unaendelea kutumia vitz unayotumia sasa hivi, baada ya miaka miwili unaweza kusogea mbele sana kuliko kuwaza mkopo wa kununua gari la kutembelea!
Ni mawazo tu!
 
Last edited by a moderator:
Huyo alietukana hapo ndio uwezo wake wa kufikiria ulipofika hapo.Na ndio maana badala ya kuchangia akatukana.Ndio wale wa 5 in life hao.
Unatafuta sifa mjini kwa gari,na ikifa Age ya 40yrs huna jipya,kuna umri wa mafanikio katika maisha ya ujana.Na kuna umri ukifika basi usitegemei kusubiri miujiza ya mungu wakati ujana uliuburuza kwa Bia na Madem na anasa za kijinga ilio watu waone mambo yako safi.Itafika siku utakuwa anaeda kanisani kila siku na mskitini kuomba mafanikio wakati mungu anajua kabisaa kwamba wewe kichwa maji ulishauriwa ukajiona wewe ndio mjanja na unakuja kwenye nyumba za ibada baada ya kuona mambo yanaenda kombo.
Kuweni wapana wa kufikiri kwenye ujana.

We mwenye akili hasa ukakope pesa ili ununue gari?Kwanini usifanye jitiohada ukanunue gari kwa pesa yako.
Mkopo siku zote sio salama kwa maskini wa level yakukopa gari,unajua hiyo 25m utatakiwa kulipa zaidi ya 30m?

Kwanini iwe hivyo ?kisha ulaji wa mafuta wa Benz ML 350 unaujua au ndio unaona gari ni gari tu.
Hiyo Gani nia aina ya gari za SUV Vehicles,mafuta ya siku mbili tu ni msahara wa House Girl
Utakuta unafanya kazi umri unakwendsa na huna ulilofanya la maana.

Jipange nunue kwa pesa yako,sio tatizo mtu kununua gari hata kama ni Bilioni moja,ila suala lililopo hapa ni kukopa kwa ajili ya gari la Aina hiyo.Angalau ungeniambia unakopa kwa kununua gari ya kutemebela kama vitz,spacio nk amabazo fuel Consumption yake ipo chini.Ila gari kwa pesa Hiyo na aina hiyo ya gari ni balaa.
Utajuta kukopa.

Jaribu kukopa tutakutana kanisani kwenye maombi ya kurejesha deni na kuuza gari.
 
Wadau nimepata kamkopo (Salaried loan) naipenda sana Benz ML 350, nina 25M je naweza kuipata kwa pesa hii kwenye Yard za hapa Bongo?. Naomba kujuzwa kwa anefahamu strength na weakness ya hii gari na wapi naweza kuipata.
naijua ml ndani nje nimeiendesha toka mwaka 2009 mpaka sasa ninayo ila nakaribia kuiuza nimenunua gari nyingine..ngoja nikupe ushauri wa bure ML very expensive car kuimentain spear ghali sana haswa uki nunua hapa mi nashukury mungu kwakua nafanya biashara za kwenda hongkong ndio ilikua nafuu yangu ikitokea tatizo huwa na nunua huko hata kama siko huko hapa hapa nilikua nampigia mtu pale ananinunulia siku ya pili tu kinakua kishanifikia. kitu cha kununua hapa mil3 hongkong utanunua laki 7..kwaiyo pesa kwa sasa nahisi unaweza kununua hapa..mimi niliinunua hongkong dolla elf10 karibu miaka mitano nyuma nikalipa na ushuru milioni 12..remember dat ni gari ghali sana kuimentain ila ukifunga spear unasahau miaka akikisha pesa yako si yakuunga unga la sivyo utaiweka uwani kila la kheri
 
Kuna wengine tunahitaji walau milion 2 tufungue biashara, wengine wanawaza kununua ML. Kweli hatufanani.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kula Raha chukua Machine iyo achana na hao wajasiriamali uchwara
 
Huyo alietukana hapo ndio uwezo wake wa kufikiria ulipofika hapo.Na ndio maana badala ya kuchangia akatukana.Ndio wale wa 5 in life hao.
Unatafuta sifa mjini kwa gari,na ikifa Age ya 40yrs huna jipya,kuna umri wa mafanikio katika maisha ya ujana.Na kuna umri ukifika basi usitegemei kusubiri miujiza ya mungu wakati ujana uliuburuza kwa Bia na Madem na anasa za kijinga ilio watu waone mambo yako safi.Itafika siku utakuwa anaeda kanisani kila siku na mskitini kuomba mafanikio wakati mungu anajua kabisaa kwamba wewe kichwa maji ulishauriwa ukajiona wewe ndio mjanja na unakuja kwenye nyumba za ibada baada ya kuona mambo yanaenda kombo.
Kuweni wapana wa kufikiri kwenye ujana.

We mwenye akili hasa ukakope pesa ili ununue gari?Kwanini usifanye jitiohada ukanunue gari kwa pesa yako.
Mkopo siku zote sio salama kwa maskini wa level yakukopa gari,unajua hiyo 25m utatakiwa kulipa zaidi ya 30m?

Kwanini iwe hivyo ?kisha ulaji wa mafuta wa Benz ML 350 unaujua au ndio unaona gari ni gari tu.
Hiyo Gani nia aina ya gari za SUV Vehicles,mafuta ya siku mbili tu ni msahara wa House Girl
Utakuta unafanya kazi umri unakwendsa na huna ulilofanya la maana.

Jipange nunue kwa pesa yako,sio tatizo mtu kununua gari hata kama ni Bilioni moja,ila suala lililopo hapa ni kukopa kwa ajili ya gari la Aina hiyo.Angalau ungeniambia unakopa kwa kununua gari ya kutemebela kama vitz,spacio nk amabazo fuel Consumption yake ipo chini.Ila gari kwa pesa Hiyo na aina hiyo ya gari ni balaa.
Utajuta kukopa.

Jaribu kukopa tutakutana kanisani kwenye maombi ya kurejesha deni na kuuza gari.

Mkuu mie ninakupinga hapa, ni nchi kama tz ambazo hazina sheria kali kufuatilia mapato ya wananchi wake. Nchi karibu zote na tena zilizoendelea watu wengi sana wananunua magari kwa mikopo ya muda mrefu.
Pia elewa hujui kipato cha mtu kwa mwez na aina ya kazi anayofanya hadi uje umshangae kununua gari kwa huo mkopo. Yeye keisha jitathmini na kuona anaweza kuishi na kipato chake akiwa na hilo gari. Kwa hiyo kwa msingi ni kumshauri hiyo gari ina set backs zipi ili akinunua ajue jinsi ya kuzikabili.
Mkuu wewe nunua benz na spea zinadumu, hasa ukipata ML iliyo na engine yenye technolojia ya CDi yaani commonrail direct injection itakuwa bomba kwani ni fuel econimy. Na nyingi zina cc 3000 kama prado tu. Live your life achana na watu wanaofikiri kufungua biashara ndo kila kitu.
 
Dah, Mkuu umevuta MKOPO halafu unataka kununua ML!!!..dah, hata kukushauri mkuu inakuwa ngumu, lakini Vinci kanena pale juu yanatosha! Hiyo 25M ungezungusha tu mkuu wakati huo unaendelea kutumia vitz unayotumia sasa hivi, baada ya miaka miwili unaweza kusogea mbele sana kuliko kuwaza mkopo wa kununua gari la kutembelea!
Ni mawazo tu!

Ni mawazo yako tu usimkatishe tamaa mwenzio. ML benz ni gari ya watu middle class, hivyo kama wewe hujafikia class hiyo ndo ujitahidi ufike hapo.
Watanzania tunaamini sana kipindi hiki cha unstable economy kufungua biashara ndogondogo kwa mitaji midogo.
Nilipokuwa nafanya postgraduate degrees abroad nilikutana na vijana wengi wakongo, nigerians, ghanaians n.k. wakijisomesha kwa mikopo waliyochukua banks nchini kwao, hawakukimbilia kufanya biashara ambazo katika uchumi kama huu wa tz ni bahati nasibu kutoka. Unaporudi na elimu ya juu zaidi unapata stable n good job na kuweza hata kufungua hizo biashara huku ukiwa stressfree.
Leo wanasiasa wanatudanganya ujasiriamali wakati wazungu kwao wanapambana kutengebeza ajira kwa watu wao ili waweze kulipa kodi na kuishi formal life. Think twice.
 
Kweli ni mawazo tu mkuu, hata hivyo naona umezungumzia kitu tofauti kabisa, binafsi wala sijaongelea uchuuzi, mimi ni muumini wa uzalishaji, hivyo unaweza kuona tuko tofauti kidogo kimawazo, kama wewe vitabu vyako vimekufundisha uchuuzi, mimi vya kwangu vimenifundisha uzalishaji. Sina maneno na kusoma, kwani ndiyo hasa ufunguo wa maisha, lakini natofautiana na wewe kuhusu kukimbilia ajira kwa sababu ya security ya "good job", labda hiyo good job inayokuwekea security ya kukopa 50M halafu unanunua "gari la kutembelea" ili na wewe ujione uko daraja la juu kidogo (kwa mkopo!!!!), ni ofauti ya maono tu mkuu, na sijajua ni kwa nini wasomi wengi wabobezi wa mambo ya uchumi hawafanyi vizuri sana wanapojiajiri, na mara wengi wao wanaogopa kujiajiri maka uzeeni utakuta kutwa kuruka na ndege kufukuzia tempo za vipindi!!! Binafsi siamini kama kuna biashara ambayo ni stress free, labda kama mwenye nayo hana mipango mipana, kwangu mimi challenge ni kila siku, nikipata mia nawaza niifanyeje iwe miambili, siyo nikipata mia niumuzike kwa sababu nina uhakika shillingi hamsini imeshalipa!! Ni mawazo yangu hayo mkuu, nadhani ni kwa sababu nimekulia kwenye mazingira hayo, simind sana nikionekana lower class wakati mzunguko wangu wa pesa uko vizuri kuliko hao wanaoonekana barabarani upper au midle class wakati wanalipa mkopo usiozalisha.
Waza nje ya hilo boksi ulilomo!
 
Mkuu mie ninakupinga hapa, ni nchi kama tz ambazo hazina sheria kali kufuatilia mapato ya wananchi wake. Nchi karibu zote na tena zilizoendelea watu wengi sana wananunua magari kwa mikopo ya muda mrefu.
Pia elewa hujui kipato cha mtu kwa mwez na aina ya kazi anayofanya hadi uje umshangae kununua gari kwa huo mkopo. Yeye keisha jitathmini na kuona anaweza kuishi na kipato chake akiwa na hilo gari. Kwa hiyo kwa msingi ni kumshauri hiyo gari ina set backs zipi ili akinunua ajue jinsi ya kuzikabili.
Mkuu wewe nunua benz na spea zinadumu, hasa ukipata ML iliyo na engine yenye technolojia ya CDi yaani commonrail direct injection itakuwa bomba kwani ni fuel econimy. Na nyingi zina cc 3000 kama prado tu. Live your life achana na watu wanaofikiri kufungua biashara ndo kila kitu.

Hapo kwenye red ndiyo umeongea kitu cha maana! Unaongea kama vile hauko Tanzania au hauwajui watanzania vizuri, ni kawaida mwalimu anayenza kazi kukopa pesa na kununua vitu vya ndani halafu mshahara unakatwa na kubaki na pesa isiyomtosha hata nauli, najua vijana waliokopa na kununua magari halafu mwisho wa mwezi kwenye akaunti anabaki na laki moja!!!! Hakuna anayemhukumu jamaa yetu anayetaka ushauri, tunajaribu kupeana mawazo tu kama watanzania, akipenda atayachukua akipenda atayaacha, mimi na wewe hatuwezi kumwamulia wazo hili pumb.a wazo hili zuri, yeye akikaa akatuliza akili majibu yote anayo kichwani.
 
Back
Top Bottom