Nahitaji kununua Barber shop

Nahitaji kununua Barber shop

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
212
Kama unauza barbershop (Saluni) tafadhali ni-pm.
Asante.
 
unataka iliyo na kila kitu au hata yenye vitu vichache?!
 
Mimi nina vifaa vyote vya barbershop i mean viti viko 6 na vifaa vingine vyote ni PM tuongee biashara
 
Nimefungua barber shop kama two weeks zimepita unaweza ukanipm kwa ushauri nikakusaidia
 

Attachments

  • 1419098875537.jpg
    1419098875537.jpg
    32.3 KB · Views: 123
Wakuu na ka swali hapa naomba kuuliza.Kwa wale wanaomiliki barbershop...Hivi kipi ni bora. Kumkabidhi Kinyoxi kila kitu saloon akuletee hesabu mwisho wa week...au kukubaliana na kinyozi amlipe mshahar kila mwisho wa mwezi/week then we we uwe mwasibu wa kukamata pesa zote zinazoingia saloon.....,
 
mimi nahitaji frame mbagala rangi tatu center pale vifaa ninavyo kama kuna mtu anayo au dalali annicheki
 
Back
Top Bottom