mishe bwoy
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 116
- 34
wakuu..najua kuna watu wana ac mingi za facebook na hawaihitaji kuzitumia zipo tu random..Kiukweli nina shida na ac za facebook kwa ajili ya kufanyia kazi zangu za kushare habari zangu za blog na sio nia nyingine..
Kwa nini nisifungue menyewe mpya?????
Facebook kwa sasa ukifungua ac mpya na ukaanza kufanyia kazi ya kushare habari ndani ya siku 3 ac inafutwa kabisaaa inakuwa disabled wala sio blocked..disabled that means hutaweza itumia tena..So ac zilizokaa kuanzia miezi 4 ndio zinafaa kufanyia kazi...
SO KAMA UNA AC YA FACEBOOK AMABYO HUITUMII NI PM HATUTASHINDWANA
nina ac ya mda mrefu sana fb na suitumii zaidi ya kupekulia udaku
Ninayo eijaitumia tangu2009,but nahisi hela yako haita nilipa.
Kwani ac za kununua wanaogopa kuzi disable? Sijakuelewa
Hawaogopi ila zinasaidia hazifungwi ovyo kama mpya
Kuadvertise page sio mchezo ili isisimae unatakiwa uwe na page budget yako isipungue 1million..hapo unapata likes 70k+sasa kwanini usifungue page tu? na hio hela ya kununulia acount fb si bora uwape hao fb watakufanyia promo?
hapana hyo haitanifaaa ni rahisis kufungwaNitafute nina acc siitumii ina friedns maximum 5000 .