jojoe35
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 262
- 379
Salaam wakuu
Mie jinsia ni ME, Nimedumu na mpnz wangu ss mwaka wa tatu, tuliahidiana mwaka juz tulipokua tunaenda vyuoni kwamba tukimalza tutaoana
Yeye kwa sasa kaajiliwa bt mm nimedisco, ila bado cjamwambia ukweli wa matokeo yangu,
uyu mchumba wangu anaharaka sn yakuolewa coz anasumbuliwa sn kazin kwake coz nimzuri anamsimamo na niwife material nzuri sn, kavumilia huu ss mwaka wa tatu anahitaji mm ndo niwe mme wake wa maisha, na kusema kweli ANANIPENDA
Ndan ya miaka mi3 yote cjawai kutana na material ilioendana namm karbia kila kitu kama uyu dada, na sitak kumpoteza coz naic nikimuacha sitaoa tena bt bint anataka kuolewa ndan ya mwaka huu au ujao cz anasumbuliwa sn
Sikupanga kuoa kabla cjajiimarisha kiuchumi japo nyumban uchumi ukovizuri2 nimepanga mwakani ni apply upya chuo,Wakuu naombeni ushauri, sitaki kumpoteza uyu bint nampenda vilivo, nifanyeje????