Umedisco chuo kwa uzembe ama uwezo mdogo class?? Kama ni kwa uwezo mdogo class mueleze maana atakuwa anafaham IQ yako, ila kama ni kwa uzembe achana nae maana kwa huu uzembe utaishia kudisco kwny ndoa yenu.
NB. Ndoa ni mtihani pia
ilikuaje mpaka ukadisco?
Hapana anapata vishawishi sn nakukatishwa tamaa na wenzake kuusu mapnz ya mbali coz yuko mkoa tofaut namm, so anahic anaweza muacha wakat wowte akaaibika kwa msimamo wake kwangu
kwa mawazo hayo kweli usioe...
my advice hatua ya kwanza mjulishe kua umedisco vngine vinakuja vyenyewe
Kwahiyo dawa ya kusumbiliwa ni ndoa???
wanawake tuna mbinu, ccm cha mtoto
namie nisumbueni jamani, nisumbueni please....nakaribisha usumbufu
Ha ha ha yeah nakaribisha usumbufu
Kwahiyo dawa ya kusumbiliwa ni ndoa???
wanawake tuna mbinu, ccm cha mtoto
namie nisumbueni jamani, nisumbueni please....nakaribisha usumbufu

Hayo maandishi yako tu ni kioja, ndio maana ulidsco.
Uta oaje mschana anakazi naww hunakazi mkuu?
Sikupanga kuoa kabla cjajiimarisha kiuchumi japo nyumban uchumi ukovizuri2 nimepanga mwakani ni apply upya chuo,Wakuu naombeni ushauri, sitaki kumpoteza uyu bint nampenda vilivo, nifanyeje????