Nahitaji kumuoa ila nime disco chuo

Nahitaji kumuoa ila nime disco chuo

Kwa ulivyo andika utapata cheti cha ndoa lakini uta disco mapenzi tena kwanza ueleweki unamsimamo gani katika mahusiano yako na huyo binti sio mkweli mwanamme unahogopa kusema umedisco kwani huyo mwanamke alikupenda sababu ya elimu au sababu gani kuwa mkweli alafu uone atasemaje wanawake wako wengi usiseme utaoa tena
 
Ushadisco tena katika mapenzi. Kama utakavyoapply chuo mwakani anza kuapply mpenzi mpya tena.
Huyo bint mpe dedication ya wimbo wa Kassim Mganga feat Christian Bella, Subira.
"Wasikitika usijevunja shingo hiyo mama
Na unavyosononeka usije ita mapaka.......to the end"
 
Ndio tatizo la kutokuwa muwazi ktk mapenzi. Kudisco chuo sio kufeli maisha.

Wanaodisco ndio wenye makampuni makubwa duniani.
 
Ushadisco tena katika mapenzi. Kama utakavyoapply chuo mwakani anza kuapply mpenzi mpya tena.
Huyo bint mpe dedication ya wimbo wa Kassim Mganga feat Christian Bella, Subira.
"Wasikitika usijevunja shingo hiyo mama
Na unavyosononeka usije ita mapaka.......to the end"

teh teh teh
asijeitaka harusi kwa pupa
asijeitaka harusi akarudi na talaka...asikimbilie mume ataukondesha moyo
 
Acha kubabaishwa na uzuri wa mwanamke. Wewe unafikiri uzuri wake unaliwa? Kwa taarifa yako ukishamuoa huyo dada kesho yake utakutana na kifaa kipya uzuri wa mkeo unaingia mara hamsini. Achana naye huyo kwanza ameshazeeka. Utaoaje mzee bwana? Wanawake unaokutana nao shuleni ama vyuoni hao achana nao maana ni sawa na mama zako wadogo. Ukiwa chuoni mkeo ndio kwanza yuko form one. Upo?
 
Mkubwa wewe tafuta chako kwanza wanawake huwa hawatabiriki mi nimeishaingizwa town mara kibao afadhali wewe mmeishi naye miaka mitatu wengine mpaka tumezaa nao lakini anavyogeuka huwezi amini
 
Nimekupata mkuu
 
Duuu?????? Wangu hageukagi mkiu angekua kashageuka
 
Umedisco chuo kwa uzembe ama uwezo mdogo class?? Kama ni kwa uwezo mdogo class mueleze maana atakuwa anafaham IQ yako, ila kama ni kwa uzembe achana nae maana kwa huu uzembe utaishia kudisco kwny ndoa yenu.
NB. Ndoa ni mtihani pia
 
Back
Top Bottom