Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,544
Mmh ujipange lasivyo utaisoma huko mbeleni
Maelezo yako yana changanya.
'' Ni mzuri anamsimamo na ana hitaji mimi ndio niwe mme wake wa maisha "..........sasa hapa shida ikowapi? Mwambie aendeleze msimamo mpaka utapo kuwa tayari.
" nahisi Nikimpoteza sita oa tena" ....seriously!!! Hapa mi naona either kuna kautoto au uchizi wa mapenzi unakusumbua.
"Sikupanga kuoa kabla cjajiimarisha kiuchumi japo nyumban uchumi ukovizuri2 nimepanga mwakani ni apply upya chuo"..... Hapa naiona hadithi ya sizitaki mbichi hizi. Kipi unataka ndugu? Kusoma kwanza au urithi wa nyumbani ukaoe???
Kwahiyo dawa ya kusumbiliwa ni ndoa???
wanawake tuna mbinu, ccm cha mtoto
namie nisumbueni jamani, nisumbueni please....nakaribisha usumbufu