Nahitaji kulewa

Kwakweli pombe haisababishi ulale fofo bora unywe maji i have experience!

Sijawai kudrink
but leo naitaji kulewa ili nilale fofofo
kwa wale wadau pombe ipi ni nzuri?
 
Sijawai kudrink
but leo naitaji kulewa ili nilale fofofo
kwa wale wadau pombe ipi ni nzuri?
kunywa dompo chupa 2,konyagi kichupa kidogo kula na nguruwe nusu
 
Kuna mwana bodi mmoja anaitwa POMBEKALI check nae.Lakini unaweza kuanza na PINGU Kama starter kisha Gongo ya Malawi ila tatizo lake hii ya malawi watumiaji huanza kulia pindi wanywapo sasa kama upo nyumba ya kupanga jiandae kwa notice
 
Are you sure unataka kulala?
Kama upo Dar nenda kwa mtogole ulizia Mama Asha mwambie akupe NDIMBO, ni pombe ya mnazi ambayo inakaribia kuoza, hiyo utalala hadi useme BHAAAASI!
Kama upo Moshi nenda kule Kiborloni ulizia Mama Kekuu, ni maarufu kule mwambie akupe Gongo, shot moja tu.(Angalizo,usinywee pale maana unaweza shindwa nyanyuka, kanywee pembeni ya kitanda)
Kama upo Iringa nenda mtaa mmoja unaitwa Kihodombi, ulizia mama Siyovela. Mwambie akupe Mdindifu, ni ulanzi uliolala siku zaidi ya tatu or nne. Hapo utalala utatke usitake.

Ni huko tu ndo naweza kukusaidia, kwingine wengine watasaidia.

All ze besti.:glasses-nerdy:
 
kabla hata ya kuulizia nia aina gani ya pombe unataka unywe...anza kwa kununua pampaz kwanza!!
 
smile ninahakika utaishia hapa mwenzetu
 
Hahahaaaaaa! Civilized Drinker NIMEKUKUBALI!!!!!!!!!!!!!! Ila Smile aangalie, MAUMIVU YA KICHWA HUANZA POLEPOLE!!!!!!!! NA SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE!!!!!!
 
Hahahaaaaaa! Civilized Drinker NIMEKUKUBALI!!!!!!!!!!!!!! Ila Smile aangalie, MAUMIVU YA KICHWA HUANZA POLEPOLE!!!!!!!! NA SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE!!!!!!
liwalo na liwe nipe menu
 
Hahahaaaaaa! Civilized Drinker NIMEKUKUBALI!!!!!!!!!!!!!! Ila Smile aangalie, MAUMIVU YA KICHWA HUANZA POLEPOLE!!!!!!!! NA SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE!!!!!!

welcome mamii raha ya pombe kuiinjoy siohadi utapike looh
 
Taratibu za pombe, na hasa kama ni mwanafunzi: Usinywe ukiwa peke yako, PM me tusaidiane :becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…