Nahitaji kukodi Crane ya tani 16

mkuu kama uko dar nenda njia ya kuingilia dampo au nenda quality plaza kuna watu wameipark pale mkuu.
 
Nipo Dar mkuu.

Nilifika jana maeneo ya Quality Plaza aisee jamaa wanaanza na 3m kwa kazi kama hiyo mkuu.

Nikasema ngoja kwanza nipande jukwaani mkuu. Ila dampo sijafika bado.
 
mkuu mimi nilichukua pale dampo kutoa container bandarini na kwenda kushusha mbezi kwa 250,000
 
Zipo crane nzuri kwa bei poa kabisa
 
mkuu mimi nilichukua pale dampo kutoa container bandarini na kwenda kushusha mbezi kwa 250,000

Huna mawasiliano nae huyo jamaa.
 
Tarehe 17 Hadi 21 tulikuwa tunafanya kazi ya karasha hapo maeneo ya msata kwa hiyo tuna uzoefu kumbwa kwenye lifting
 
Mkuu naomba nisaidie mawasiliano ya wa crane aliyepo Dampo. Ahsante
Mzee umefukua kaburi huyu mleta mada hayupo humu kitambo sana almost a year! Mi mwenyewe namtafuta kwa ishu flani sijaweza mpata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…