miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,511
kusoma sio lelemama kwanini hufikirii kufail mitihani yako??
Poa bro enx kwa kunijuza
Upuuzi kivip xaxa apo ?Mbona unaandika kipuuzi hivi?
Vitoto vya sikuhizi!!
Una zingua banaXaxa ndio nini?
Me nme soma PCM na nme faulu vzr2 xo diploma ni kwamba wana lipa zaid ya hyo 650k
Nko chuo sasa ivi nasoma BSC education namalza mwezi wa 7 so nataka nika some hiyo course ualimu naona watu wana kaa sana mtaaniWaliofaulu vizuri huwa hawaendi diploma
Nenda kasome kijana pia acha kuandika kama watu wa Facebook xaxa xo etc
Kama ulisoma PCM walimu hao ni dili saiv ayo masomo ya sayanc walimu mashulen wachache labda kama umeenda kusoma ualimu wa Arts utasugua bench mpk 2020 akija lahisi mpyaNko chuo sasa ivi nasoma BSC education namalza mwezi wa 7 so nataka nika some hiyo course ualimu naona watu wana kaa sana mtaani
uko gud mzee hivi na mwenye bsc meteorology pale TMA anaanza na ngapMamlaka ya Hali ya Hewa wana utaratibu wao wa kuajiri kwa nafasi za chini,
kwanza wanatangaza nafasi za ajira ambapo wanadahili idadi ya watu wanaowahitaji kisha wanapelekwa chuo chao kupata mafunzo watakao faulu (mara nyingi ni wote) wanaajiriwa moja kwa moja na ni kwa ngazi ya Cheti, mshahara wake huwa 650k.. lkn kigezo kikuu ni lazima uwe umesoma PCM na kupata angalau ufaulu wa wastani.