Nahitaji kujua magari ya bei nafuu yenye kutumia mafuta kidogo

Kind

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
247
0
Wandugu kwa wanaofahamu
Nahitaji kujua magari ya bei nafuu yenye kutumia mafuta kidogo
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,920
2,000
Wandugu kwa wanaofahamu
Nahitaji kujua magari ya bei nafuu yenye kutumia mafuta kidogo
toyota vitz, toyota fancargo, toyota passo, suzuki kei, suzuki swift, toyota ist.....hzo ni baadhi tu mkuu
 

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
903
250
Unaposema bei nafuu ni ipi? maana unaweza kuwa unamaanisha hummer ya bei nafuu inayotumia mafuta 5km/1 liter.
kama unahitaji bei poa ya kitanzania wa kawaida, Suzuki swift inafaa.
Tuwasiliane kwa biashara ya gari hilo lipo tayari Arusha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom