Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,886
- 2,767
Mbona mke wako wa awali ninaye mimi na halalamiki.Dk Slaa aliachana na mke wake wa awali mama Kamili. Sababu za kuachana ni zipi? Sijawahi kuzisikia wala kumsikia mama Kamili akilalamika. Katoliki wameanza kuruhusu talaka? Huyu FL1 wa sasa Dk si anachakachua? Kuna uhalali katika hili? Ni maswali machache ambayo wengi tungependa kupata majibu yake
Dk Slaa aliachana na mke wake wa awali mama Kamili. Sababu za kuachana ni zipi? Sijawahi kuzisikia wala kumsikia mama Kamili akilalamika. Katoliki wameanza kuruhusu talaka? Huyu FL1 wa sasa Dk si anachakachua? Kuna uhalali katika hili? Ni maswali machache ambayo wengi tungependa kupata majibu yake
Hata mimi nashangaa mwenyewe kakiri hajamsikia Rose akilalamika sasa yeye analalamika kama nani ukisikia umbea ndio huu.Kama Rose kamili mwenyewe hujawahi kusikia akilalamika sasa wewe nini kinakuuma?
Nadhani ni vizuri ukamtafuta mwenyewe na kumuuliza maana hayo ni mambo yake ya ndani. Kuishi na mke si jambo jepesi mpaka uwe na kichwa kama cha mwendawazimu. sijui kama umeowa au la . Nakushauli uachane na hiyo hoja na uitoe mara moja kwa maana hatuhitaji kumjadili kiongozi wetu.
Ni poa tu kuuliza, coz anatuchanganya. Kamili yuko kimya si coz kazimwa na ubunge wa viti maalumu! unajua JF mtu akizungumzia watu manowaamini mnakuwa defensive sana, ndio ni kiongozi wangu nilimpigia kura lakini currently anazini, hili la kusema wangapi wana ndoa safi kwanini awe kati ya wachafu, he is unique individual n kwenye suala la familia inayoeleweka ingemuongezea credit for sure. Angalia Obama na familia yake anaheshika zaidi apart from his intelligency pia the way anahandle domestic issues coz asikudanganganye mtu familia ikitulia inampa utulivu muhusika na anakuwa more productive, so atuambie anazini now if yes lini ataishi maisha safi, angalau kwenye face ya jamii tu wether anajichanganya huko pembeni kivyake bt at least in da face