Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
Dk Slaa aliachana na mke wake wa awali mama Kamili. Sababu za kuachana ni zipi? Sijawahi kuzisikia wala kumsikia mama Kamili akilalamika. Katoliki wameanza kuruhusu talaka? Huyu FL1 wa sasa Dk si anachakachua? Kuna uhalali katika hili? Ni maswali machache ambayo wengi tungependa kupata majibu yake