Nahitaji kujua kuhusu kiongozi wangu Dk Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kujua kuhusu kiongozi wangu Dk Slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Raia Fulani, Dec 11, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Dk Slaa aliachana na mke wake wa awali mama Kamili. Sababu za kuachana ni zipi? Sijawahi kuzisikia wala kumsikia mama Kamili akilalamika. Katoliki wameanza kuruhusu talaka? Huyu FL1 wa sasa Dk si anachakachua? Kuna uhalali katika hili? Ni maswali machache ambayo wengi tungependa kupata majibu yake
   
 2. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nadhani ni vizuri ukamtafuta mwenyewe na kumuuliza maana hayo ni mambo yake ya ndani. Kuishi na mke si jambo jepesi mpaka uwe na kichwa kama cha mwendawazimu. sijui kama umeowa au la . Nakushauli uachane na hiyo hoja na uitoe mara moja kwa maana hatuhitaji kumjadili kiongozi wetu.
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 12,010
  Trophy Points: 280
  Mbona mke wako wa awali ninaye mimi na halalamiki.
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kuna wingu limezunguka mahusiano yake. Si vibaya tukafahamu
   
 5. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Hayakuhusu we zungumzia uongozi wake ni si mambo yake ya nyumbani ukitaka lete ya kwako tuyajadili
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kama Rose kamili mwenyewe hujawahi kusikia akilalamika sasa wewe nini kinakuuma? Mwenye kuolewa na kuachwa halalamiki wewe unataka kujua nini hapo...hayo mambo ya ndani sidhani kama kunaanaye jua hilo
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 12,010
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nashangaa mwenyewe kakiri hajamsikia Rose akilalamika sasa yeye analalamika kama nani ukisikia umbea ndio huu.
   
 8. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  personal issue hizo mzee
   
 9. s

  seniorita JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Una ukijua itakusaidia nini? NA wewe je, maisha yako umeyachunguza? Na hata akiwa na wake wangapi why is it your concern? As long as watu wanamheshimu na kuona kuwa ana substance ya kuwapa Watanzania politically, na ndoa yake inatuhusu nini? Na ni criteria ya kuwa kiongozi? Mbona Marais wakubwa kama Ufaransa, na royals kama wa Uk nk, wana divorce and remarry etc and they are still leaders? Wacha double standards, je, umeshafanya research ya current leaders ukajua kama wana maisha gani ya iki-ndoa? Umekosa la kusema na la kufanya, na usifikirie such lame statements will ever discredit our beloved leader Dr. Slaa, na akitaka kuoa mwingine is hi spersonal choice, wala hatakaa akuombe wewe ushauri or anyone for that matter and he will continue t be respected for what he stands for-political integrity
   
 10. k

  kiche JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi sipendi hata kidogo kufuatilia mambo binafsi,mtu kama huna upungufu wa akili uwezi kuanza mada ya ajabu hivi,jaribuni kuleta mada za kuleta uelewa badala ya majungu,na mtu wa aina hii mara nyingi amekulia kwenye ndoa za mitala ndiyo maana ana stamina ya majungu.
   
 11. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Tukianza kuwatafuta wenye ndoa halali kwa staili hii basi TZ hakuna mwanasiasa hata mmoja atakayesimama. ni vizuri tukabezi kwenye mambo ya msingi maana siku hizi ndoa zenyewe afadhali hata kutoowa. maana siku ya arusi huwa kuna maharusi wengi wanashudua mizigo yao ikioa au ikiolewa. ukifikisha nyumbani siku mbili taraka. kwa hiyo hilo la nyumba tusijadili sana.
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nashangaa sana wakati mwingine. Nikiwa kwenye pc nitawawekea link za mada ambazo hamkuwa na muda wa kuzijadili. Naona hii ndio inajadiliwa kwa kuwa inamhusu mtu na si jambo.
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  we umeolewa?
  umeachika mara ngapi?

  naamini hujapenda maswali haya eti eh?
  then acha mambo ya ndani yasiyo kuhusu
   
 14. m

  morio JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni poa tu kuuliza, coz anatuchanganya. Kamili yuko kimya si coz kazimwa na ubunge wa viti maalumu! unajua JF mtu akizungumzia watu manowaamini mnakuwa defensive sana, ndio ni kiongozi wangu nilimpigia kura lakini currently anazini, hili la kusema wangapi wana ndoa safi kwanini awe kati ya wachafu, he is unique individual n kwenye suala la familia inayoeleweka ingemuongezea credit for sure. Angalia Obama na familia yake anaheshika zaidi apart from his intelligency pia the way anahandle domestic issues coz asikudanganganye mtu familia ikitulia inampa utulivu muhusika na anakuwa more productive, so atuambie anazini now if yes lini ataishi maisha safi, angalau kwenye face ya jamii tu wether anajichanganya huko pembeni kivyake bt at least in da face
   
 15. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  Hilo mbona DR asishalizungumzia sana, kwangu naona inatosha tujadili mambo mengine
   
 16. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Dk Slaa aliachana na mke wake.
  Its too personal, au na wewe unataka kuolewa na Slaa ili uwe first lady 2015?

   
 17. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwanza utueleze yafuatayo kuhusu maisha yako:
  1. wewe ni mwanamke au mwanaume?
  2. umeolewa au umeoa?

  Ukijibu maswali hayo utawasaidia wachangiaji kukusaidia.
   
 18. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Suala la kuzini umelitoa wapi na maana yake ni nini? kamili ulimfahamu vipi? alikuwa ameoana naye au walikuwa wanazini? Ulikuwa ukimchagua wakati ukijua kuwa anazini au ulijua kuwa anazini baada ya wewe kumpigia kura? Je unadhani katika viongozi wengi walioogoza/wanaoongoza Tz ni yeye tu ndiyo umemsikia kuwa ni mzinifu au kuna wengine unaowafahamu? Suala la uzinifu lina athari katika nafasi yake kama kiongozi? Je umetazama katiba ya Tz, na inasemaje kuhusu kiongozi kuwa mzinifu?
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  bora mkuu umeliona hili. Mi ni chadema damu sema tu sina kadi. Hawa wajf ni wepesi sana kuzodoa kuliko kuangalia hoja. Slaa ni kiongozi wangu lakini hiyo si sababu ya kutomhoji. Yeye ni public figure na inabidi awe mwadilifu. Kuna mada mbili nilibandika humu. Moja ni ccm na production concept. Ya pili ni Demokrasia na Maendeleo ndani ya chadema. Hakuna aliyejishughulisha kutoa wazo! Hizo topic zinahitaji uelewa kuchambua. Sasa wameona hii sijui ni nyepesi kutoa maoni mepesi waonekane wana uchungu na kiongozi wao. Ni kiongozi wangu pia. Hivyo kwa yeyote anaedandia kutoa kashfa hapa ni mpumbavu tu. Period!
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  nayaita maisha binafsi wala hatutapata faida yoyote kitaifa kuyajadili mambo yake. mtumie pm atakujibu tu!
   
Loading...