Benjamin10 JF-Expert Member Joined Dec 31, 2016 Posts 441 Reaction score 631 Feb 12, 2023 #1 Wakuu habari za usiku.. Naomba niende kwenye swali moja kwa moja. Mimi nimetokea kuupenda sana mchezo wa draft lakini sasa sijajua namna ya kuucheza vyema. Je draft inaformula yeyote ambayo ukiifuata unakua mchezaji mzuri?
Wakuu habari za usiku.. Naomba niende kwenye swali moja kwa moja. Mimi nimetokea kuupenda sana mchezo wa draft lakini sasa sijajua namna ya kuucheza vyema. Je draft inaformula yeyote ambayo ukiifuata unakua mchezaji mzuri?
RO7 ZA MGOS JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 2,383 Reaction score 6,896 Feb 12, 2023 #2 Dah!!! Upo mkoa gn tuazie hapo kwaza ..kama upo yale ya lake zone mbele na nyuma endelea kulaa udaga mwngi
Dah!!! Upo mkoa gn tuazie hapo kwaza ..kama upo yale ya lake zone mbele na nyuma endelea kulaa udaga mwngi
Benjamin10 JF-Expert Member Joined Dec 31, 2016 Posts 441 Reaction score 631 Feb 12, 2023 Thread starter #3 RO7 ZA MGOS said: Dah!!! Upo mkoa gn tuazie hapo kwaza ..kama upo yale ya lake zone mbele na nyuma endelea kulaa udaga mwngi Click to expand... Dar
RO7 ZA MGOS said: Dah!!! Upo mkoa gn tuazie hapo kwaza ..kama upo yale ya lake zone mbele na nyuma endelea kulaa udaga mwngi Click to expand... Dar
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,784 Reaction score 109,957 Feb 12, 2023 #4 Zipo mbinu tofauti ila sasa sijui watu watakuelewesha vipi hapa... Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana. | JamiiForums Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana.
Zipo mbinu tofauti ila sasa sijui watu watakuelewesha vipi hapa... Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana. | JamiiForums Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,784 Reaction score 109,957 Feb 12, 2023 #5 Thread 'Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania' Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania
Thread 'Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania' Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania
Benjamin10 JF-Expert Member Joined Dec 31, 2016 Posts 441 Reaction score 631 Feb 13, 2023 Thread starter #6 Watu8 said: Zipo mbinu tofauti ila sasa sijui watu watakuelewesha vipi hapa... Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana. | JamiiForums Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana. Click to expand... Asante
Watu8 said: Zipo mbinu tofauti ila sasa sijui watu watakuelewesha vipi hapa... Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana. | JamiiForums Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana. Click to expand... Asante