Mkuu fafanua tu ali ajue vizuri usimfiche kitu kabla ya kuingia hukoNina mengi ila naona utakata tamaa mapema. Elewa 8 kati ya 10 ya unaowaona mapadre sio mapadre. Pa kuanzia nenda kwa paroko wako akupe miongozo vizuri kwani kila shirika lina mtindo au karama tofauti.
Nenda kwenye parokia yoyote umtafute padri atakupa maelekezo vizuri.Mkuu inaonekana una maarifa na hizi mambo embu toa experience mkuu, maana najua humu watu wa kila idara wapo
Maswali mazuri Mkuu.Kwanza inavyoelekea huna sakrament hata moja!
Kama unabisha jibu maswali yafuatayo!
1. Nitajie sakrament saba za kanisa katoliki
2. Daraja takatifu ni nini?
3. Taja alama za kanisa katoliki
4. Nini tofauti kati ya dhambi na dhamiri
5. Ushirika Wa watakatifu ni ushirika gan?
Ukinijibu maswali hayo! Ni PM namba yako kesho ukaanze malezi, ukishindwa nenda kanisani ukatubu uanze mafundisho ya ukatoliki.
Mbona ueleweki kijana..???Mkuu hiyo ni propaganda!
Sijui kwanini watu hudanganya this much?
People need to be honest!
Ile ni kazi,hakuna mambo ya kipawa dunia hii!Hiyo ni utopia!
Mbona ueleweki kijana..???
Kila mahali wewe ni kupinga,hata ujulikani unasimamia kitu gani..!!!
Wewe uko kwenye lile kundi la kina Ngombale Mwiru..???
Hebu jielekeze kwenye msimamo wako ili tujue tunadili na mtu wa aina gani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katekista?Haya sasa kijana Rebuke umekutana na "katekista" njoo ujibu maswali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][HASHTAG]#Rebuke[/HASHTAG] unaitwa huku na pengo
Labda sio mkristo, anafananisha mavazi yao na baibui nyeupe!Mkuu kama unataka kuwa Padre, una degree na bado mashirika yao umeshindwa kuyajua basi nakushauri usiende huko, huna wito. Yaani hata padre wako umeshindwa kuongea naye akaku-guide? Hata huko kanisani unaenda kweli?
[emoji23][emoji23] uzi wa mwaka juzi huu sidhani kama amefuata witoKama kweli una wito anza kwanza na kuwa "bruda" ni kipindi kizuri sana na upige falsafa ili ujue kama unaweza kusema "Bwana awe nanyi " Fanya maamuzi ya kina huku ukitafakari kuhusu wanafalsafa walisema nini .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo tatizo la vitoto vinajifunza kuposti humu JF, yaani humjui hata Mwenyekiti wa jumuia mtaani kwako,akupe mingozo achilia mbali kama humjui katekista,paloko au Padre,Mods futeni huu upuuzi haraka,maana jukwaa hili linataka kuwa kichwa cha mwendawazimu.Ni msaada mkuu, siunajua unakuwa unapitia mambo mengi mpaka unajitambua mkuu??
Ninyi mnaotafuta connection kama hivi ni wa kuchunga sana, kuna jambo zaidi ya upadre. Si ajabu ukawa miongoni mwa wale wanaodhani kuwa kwenye upadre ndipo pa kufichia makasoro fulani fulani, ndio ninyi baadae mnaotukanisha wito wa upadre.Ushahuri mzuri, ila ndo kuanza kujipendekeza wengine hatujazoea ila taratibu mambo yataeleweka. Ila nilitaka nipate connection ya moja kwa moja
Eti muda wote alikua wapi au ndo ameona bora akalishwe na waumini parokiani kitaa maisha magumuNinyi mnaotafuta connection kama hivi ni wa kuchunga sana, kuna jambo zaidi ya upadre. Si ajabu ukawa miongoni mwa wale wanaodhani kuwa kwenye upadre ndipo pa kufichia makasoro fulani fulani, ndio ninyi baadae mnaotukanisha wito wa upadre.
Natumaini hukufanikiwa kwenda huko. Nakuombea kila la heri kwenye maisha mengine, lakini siyo upadre. My instinct.