habari wana JF
mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili. nipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika, nipo dar
habari wana JF
mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili. nipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika, nipo dar
Nenda kapime afya ya akili.habari wana JF
mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili. nipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika, nipo dar
Kwa sababu upo Dar, nenda ofisi zao pale Lumumba, utapata kila kitu....Maelezo pamoja na kadi.
uache kujiunga na familia yako ujenge maisha kwa jasho lako...unataka kujiunga na CCM ili ule kodi za watanzania kama paka shume! shame pon yah chi chi man!Habari wanaJF,
Mimi ni kijana mkereketwa wa CCM nisiye mwanachama, sasa nataka kuwa mwanachama kamili.
Mipeni process za kupata kadi na kama kuna gharama yoyote inahusika.
Mimi nipo Dar.
nashukuru sana mkuu. nawakubali sana ccm kwa mawazo yao, yaani kama weweHongera sana mkuu kwa uamuzi sahihi, wakati sahihi, mtu sahihi. Nakushauri uulize tawi la ccm katika eneo unaloishi, yaweza kuwa ofisi ya kata, tawi, wilaya au mkoa, utapata full details, kadi inatolewa na tawi unaloishi au unapofanyia kazi mradi uchague wewe mahali utakapoweza kushiriki vikao.
pili, gharama:
kadi ni tshs 300/=
ada ni tshs 200/= kwa mwezi sawa na Tshs 2,400|= kwa mwaka.
Kuwa ccm ni ufahari, njoo tuijenge nchi.
Wazo lako zuri lakini humu si mahara pake nakuurumia ngoja waje wenye aleji na hizo elufi 3
Hongera sana mkuu kwa uamuzi sahihi, wakati sahihi, mtu sahihi. Nakushauri uulize tawi la ccm katika eneo unaloishi, yaweza kuwa ofisi ya kata, tawi, wilaya au mkoa, utapata full details, kadi inatolewa na tawi unaloishi au unapofanyia kazi mradi uchague wewe mahali utakapoweza kushiriki vikao.
pili, gharama:
kadi ni tshs 300/=
ada ni tshs 200/= kwa mwezi sawa na Tshs 2,400|= kwa mwaka.
Kuwa ccm ni ufahari, njoo tuijenge nchi.