Nahitaji kujifunza namna ya kutengeneza Dynamic Website | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kujifunza namna ya kutengeneza Dynamic Website

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by adventure, Aug 30, 2009.

 1. a

  adventure Member

  #1
  Aug 30, 2009
  Joined: Apr 20, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza dynamic website lakini sijui chuo gani kina fundisha hapa Tanzania hata kama ni online..
  Wana JF naomba msaada wenu
   
 2. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  @Adventure...

  Sijui background yako kuhusu web designing kwa ujumla ila nafikiri una nafasi ya kujifunza jinsi ya kutengeneza dynamic websites.

  Ili kuweza kufanya hivyo unapaswa kwanza kuwa unajua HTML vizuri na baada ya hapo utakubidi ujifunze scripting language kama PHP (au ASP) pamoja na database(mfano mysql) ambayo itatumika ku-support hiyo dynamic website yako.

  Watu wengi huwa wanajifunza PHP ambayo inafanya kazi vizuri sana na MYSQL.Hizi zote ni Open Source,materials zake ziko widely available online kwa hiyo una nafasi ya kuanza kujifunza kuzitumia.Kifupi sidhani kama unahitaji kwenda shule kwa ajili ya hii...unahitaji kutulia na kupata resources za kuweza kuweza kusoma na kupata support toka online communities nyingi online.

  Siwezi kusema itakuwa ni rahisi lakini nafikiri unaweza kujifunza vizuri tu.

  Kwa upande mwingine developers wengi siku hizi wameamia katika Content Management Systems(CMS) kama Joomla na Drupal ambazo zinakuwezesha kufanya dynamic websites bila hata kujua sana scripting language kama PHP.Yaani utahitaji basics za PHP na MYSQL na mengine mengi utapata kwenye resources kibao juu ya hizi CMS ambazo zinapatikana online.

  Nina reference books za kufanya dynamic websites na pia content management systems.Unaweza ukani-PM ili tuangalie ni namna gani naweza kukusaidia kupata hivyo vitabu.Naweza pia kuangalia uwezekano wa ku-share hizo documents hapa JF.

  Goodluck~
   
 3. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mpogoro amesema mengi tayari na nisingependa kurudia.

  Ila, inatemegemea na ambition yako binafsi, kwanini unatakata kujifunza dynamic website design na lengo lako ni nini baadae, au kufikia wapi.

  If your ambitions is to be not less than a serious programmer, I would recommend you try learning yourself (self trained) kuliko kwenda shule, ambako a good chance is that you will lose a lot than gain.

  Any programmer (I mean a serious one) spent much of his time reading, practicing in a try-and-error fashion -- and that I think is the best way to go. Usitegemee mtu akufundishe kila kitu, hautafanya vizuri hata kwa style hiyo.

  PHP is good for novices and professionals alike. But you may also try exporing other venues like ASP, Python JSP, Ruby to expand your horizon.

  Don't jump to CMS (like joomla) without learning or have good understanding on PHP. Any professional/serious CMS user has a good PHP background, or at least not that new to scripting languages.

  All the best bro!
   
 4. a

  adventure Member

  #4
  Aug 31, 2009
  Joined: Apr 20, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu..HTML nafahamu na ni basic ya PHP,ASp na mysql..Kuhusu content Management system kwa mfano Joomla nimesha jaribu kuzitumia lakini inafika sehemu na kwama...hivyo nitashukuru nikipata msaada..
   
 5. a

  adventure Member

  #5
  Aug 31, 2009
  Joined: Apr 20, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa ushauri wako, lengo la kutaka kusoma ili niweze kutengeneza dynamic website naamini itakuwa rahisi ku-add pages,ku-modify, ku-delete pages,kukusanya information kutoka kwa wateja n.k
   
 6. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Then you can get off with PHP, which should no doubt get to your destination.

  Otherwise, you don't have to say thanks, just click the 'Thanks' button on the bottom right of the post.

  ~Goodluck
   
 7. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2013
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  ushapata pakujifunza?
   
Loading...