Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,733
Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufaAcha kumdanganya mwenzio mkuu, kwamba wewe unaweza kushinda kwa Kila pambano hapa chini ya jua, Nina wasiwasi na sehemu ulipochukua hiyo Kombat yako.
Sasa nikiwa mule ndani kuna jamaa mmoja tukazinguana vikali tu nikasimama kwajili ya mpambano maana naye alionesha wazi anataka tupigane.....nikajipanga mkao wa vita sasa...... Eebwanaeeee nilikula pigo moja hivi la ajabu kisha akanimalizia na teke moja hivi nikaona sasa huyu simuwezi maana anaonekana anamafunzo ya kupigana wakati mimi sina. Nikataka kumtwisha chupa la kvant wadau wakaja kuzuia pale.
.
😍Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa
Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto
Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema
Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia
Kifupi unafundishwa mambo mengi sana
Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
Hapana huwa napenda kujilinda haswa huu ujio wa Panyaroad umenifanya nianze na Meditation ili kufungua mafile yangu kwanza😍
Sasa unataka uwe Uchi -deshi wa Kravmaga 🤣
Best wishes Sensei👍
Sawa, Kama unatambua kwamba hayo uliyonayo Kuna mtu alikufundisha huwezi kuwa na ujasiri wa kusema unakalisha mtu yeyote within a second. Wewe umeenda ukiwa 19yrs-28yrs wengine hiyo kitu ni lifestyle tangu tunajitambua na hatujui mwisho ni lini mkuu.Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa
Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto
Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema
Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia
Kifupi unafundishwa mambo mengi sana
Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
🤣👍👍Hapana huwa napenda kujilinda haswa huu ujio wa Panyaroad umenifanya nianze na Meditation ili kufungua mafile yangu kwanza
😲😲🤣🤣mbona nilisikia kwamba combat ni ya wajeda haifundishwi dojo za uraiani, ila sijui kama ni kweli.
nilisikia hiyo kravmaga wanapiga wanajeshi wa israel. vipi hii kombat wataalam wake naweza kuwapata huku uraiani kweli?Hatujuani mkuu, pia hujui mimi ni nani zaidi ya fake ID, Hujui maisha niliyopitia, hujui kazi yangu asili ni nini, hujui mpaka sasa nna 35+ nimepitia harakati zipi za maisha, hujui nimenusurika mara ngapi kufa
Kifupi mimi ni cha mtoto bado nahitaji kujifunza, nikikwambia wasifu wa walionifundisha mimi ndo utajua kwamba mimi ni cha mtoto
Pia sijasema kwamba kila pambano nitashinda, ila asili ya kombat ni kuua, kusababisha kilema cha maisha na kuvunja
Na yenyewe haihitaji pumzi sababu haipo kwa ajili ya mashindano ipo kwa ajili ya kujilinda na adui pia unaambiwa kabisa, "KOMBAT HAINA MAJARIBIO".
Sababu yenyewe inahusisha kupiga maeneo hatarishi
Yapo mengi ningeweza kuandika hapa, kifupi nilianza kufundishwa nikiwa nna 19yrs mpaka nafikisha 28yrs, wakati naanza nilikua napenda sana ugomvi ila baadae nikaanza kuogopa nikiona sehemu ina dalili ya ugomvi natafuta njia mapema
Ni sanaa nzuri ya kujilinda ila ukitaka uinjoi usiwe mkorofi, pia hata kama unapenda ugomvi ila kule unaandaliwa kisaikolojia hata kama wewe ni mtukutu ukitoka kule unabadilika sana kitabia
Kifupi unafundishwa mambo mengi sana
Ila sasa natafuta mwalimu wa Kravmaga
Huyu jamaa Soma maandiko yake then yafurahie lakini nakushauri usiyaweke akilini utapotea kirahisi Sana.nilisikia hiyo kravmaga wanapiga wanajeshi wa israel. vipi hii kombat wataalam wake naweza kuwapata huku uraiani kweli?
Sina jibu katika hilo boss.vipi ndugu hii combat kuna waalimu wazuri huko uraiani?
Mkuu kwa mikoani sijui madojo...ila huku Dar yako mengi....ni kama elimu nyingine tu...hakuna ugumu huo uufikiriao....unaanza kidogokidogo mpaka mwili unazoea....nakutakia kila la heri ukajiunge kidhati....kikubwa inasaidia sana "mental strength" na uvumilivu wa kukabiliana na madhila ya dunia ya kila uchao....kihisia , kiuchumi,kikazi ,mahusiano n.knahitaji kujifunza hiyo combat. hivi combat inahusisha kuchana misamba?
aisee mimi niko mbeya na huku kama ulivyosema sidhani kama nitapata mwalimu wa combat..Mkuu kwa mikoani sijui madojo...ila huku Dar yako mengi....ni kama elimu nyingine tu...hakuna ugumu huo uufikiriao....unaanza kidogokidogo mpaka mwili unazoea....nakutakia kila la heri ukajiunge kidhati....kikubwa inasaidia sana "mental strength" na uvumilivu wa kukabiliana na madhila ya dunia ya kila uchao....kihisia , kiuchumi,kikazi ,mahusiano n.k
Peace 👍
🤣🤣Wako mkuu....hebu ulizia vyema vijiwe vya "gym" hapo mjini.....aisee mimi niko mbeya na huku kama ulivyosema sidhani kama nitapata mwalimu wa combat..
Yes, upo sahihi mkuu, mimi sio kama sifanyi kabisa hapana, nafanya mazoezi kama kawaida, ila niliacha kuwa chini ya mwalimu kutokana na mitikasi ya maishaSawa, Kama unatambua kwamba hayo uliyonayo Kuna mtu alikufundisha huwezi kuwa na ujasiri wa kusema unakalisha mtu yeyote within a second. Wewe umeenda ukiwa 19yrs-28yrs wengine hiyo kitu ni lifestyle tangu tunajitambua na hatujui mwisho ni lini mkuu.
Hili darasa linaanzia umri gani?Nje ya Mkoa huwaga tunatumia zoom lakini kimsingi Kwa mtu anayeanza anatakiwa apate Mafunzo Physical.
Ili ukiguswa sehemu za mwili uelewe Kwa urahisi
hao waalimu huwa wanafahamiana unaweza kumuuliza kama ana mwalimu mwenzie ambae yuko mbeya anipigishe tizi?Yes, upo sahihi mkuu, mimi sio kama sifanyi kabisa hapana, nafanya mazoezi kama kawaida, ila niliacha kuwa chini ya mwalimu kutokana na mitikasi ya maisha