Nahitaji kujifunza Martial Art

Ungekuwa Dar ningekuunganisha kwa jamaa zangu, wapo wawili na wote wana Dojo zao
Dah!
shida sipo huko mkuu ila unaweza niulizia kwao mkuu. Huwa wana fahamiana ....unaweza kuta wana jamaa zao huku mkuu. Nitashukuru 🙏
 
Hapana, mtaweza ila hamtakuwa na Perfomance nzuri kama wasiooa au kuendekeza sex, ila kama unaweza kufanya tendo la ndoa kwa wiki mara moja, kwa mwezi mara nne haina shida

Ila pombe na sigara itabidi uachane navyo
Ahsante mkuu, hivi vingine 2 pombe na sigara situmii kabisa,ninaweza kujizuia kwenye sex.
 
Raha ya mazoezi mfukoni uwe njema ndio utafanya mazoezi kwa raha na usiwe mjasiriamali .sio Leo unafanya kesho haufanyi inakuwa haina maana.
Hii ndio sababu iliyonifanya nikawa mvivu wa mazoezi kipindi cha nyuma nikiwa sina majukumu mengi kama sasa hivi, ila nitajaribu tena kwa ajili ya afya na siyo kupambana na mtu.
 
Hii nitajaribu maana unakuwa mwenyewe.
 
Simple techniques, Zinazofunzika kwa haraka= no easy task in a battle field.
 
Simple techniques, Zinazofunzika kwa haraka= no easy task in a battle field.
ndugu yangu kuna mafunzo mengine Sisi watu wazima ni shughuli kuyamaster au utatumia muda mrefu tofauti na vijana ...... mifupa imekomaa tayari.

wala sihitaji kua master mkuu .....nataka iwe ni sehemu ya mazoezi yangu ama mchezo pia like shotokan karate.

Nipe connection mkuu ....Kwa huku songea town.
 
Nashukuru Sana kwa ufafanuzi murua mkuu, kwa huko Sina connection yoyote boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…