Maisha haya tunapambana kadri tuwezavyo lakini katika kupambana huko tunajikuta ndo tunaanguka zaidi
Lengo la huu Uzi ni kutaka kusaidiwa shirika/NGO's/ mtu binafsi anayeweza nisaidia kulipa ada nimalizie masomo yangu
Kwa ambaye anajua au yupo katika hio organization anisaidie wakuu